Fahamu kuhusu Kilimo cha Strawberries

Wakuu nasikia hili ni mojawapo ya zao linaondoa mtu kwenye umasikin kabisa iwapo utafuata hatua zote muhimu kwenye ulimaji wake..

Naomba mwenye ujuzi atupe maujanja kidogo nataka kulima hili zao mwaka huu..

Pia ambaye anayelima au mwenye shamba darasa popote ndani ya Tanzania nipo tayari kwenda kujifunza..
 
Nipatie namba yako nikuonganishe na jamaa yangu analima sana hizo.
 
hii biashara inanikumbumsha kuna mwaka kulikuwa na hamasa ya kufuga kuku kwamba tutakuwa matajiri eti inalipa matokeo yake bei ilishuka balaa
 
Habari Zenu wadau!

Samahani, ningependa kujihusisha na kilimo cha strawberries ila sijajua gharama zake, upatikanaji wa planting materials, mahitaji ya mmea wenyewe na pia matunzo ya zao hili.

Msaada tafadhali.

Natanguliza Shukrani zangu.
Follow this link to join KILIMO FORUM WhatsApp group: KILIMO FORUM
 
Follow this link to join KILIMO FORUM WhatsApp group: WhatsApp Group Invite FORUM
Wakuu nasikia hili ni mojawapo ya zao linaondoa mtu kwenye umasikin kabisa iwapo utafuata hatua zote muhimu kwenye ulimaji wake..

Naomba mwenye ujuzi atupe maujanja kidogo nataka kulima hili zao mwaka huu..

Pia ambaye anayelima au mwenye shamba darasa popote ndani ya Tanzania nipo tayari kwenda kujifunza..
 
Matunda yake yanakomaa ndani ya mwezi mmoja tangu kuoteshwa,soko lake lipo juu sana,hustawi vizuri maeneo ya mwinuko na rutuba nzuri,hutumika kutengenezea rangi ya vyakula,juice,ice cream,perfume nk,,
 
Mikoa inayositawisha vizuri strawberry ni Iringa na Morogoro,lakini unaweza kufanya utafit hata hapo ulipo,maana inastawi vizuri kwenye maeneo ya mwinuko,1500m
Soko kubwa sana lipo Kenya,lakini hata hapa Tanzania bado strawberry inalipa,ni miezi 2 tu tangu uanze kuandaa utakuwa umeanza kuvuna,siwadanganyi,unaweza kujifunza zaidi kuihusu
 
Back
Top Bottom