Naomba Design nzuri ya kisasa au hata mgongo wa tembo kuezeka nyumba ya Floor Plan hii

resonanceiduufu

Senior Member
Jul 29, 2016
112
62
Hizo veranda 2 ya nyuma na mbele ninaplan kumwaga zege juu sio kuezeka!

Pia kama kuna makosa kuhusu mpangilio wa vyumba au choo, au jiko tafadhali toa ushauri wako!

Foor Plan yake ni hii hapa chini:

IMG_20210730_205715.jpg
 
Hizo veranda 2 ya nyuma na mbele ninaplan kumwaga zege juu sio kuezeka!

Pia kama kuna makosa kuhusu mpangilio wa vyumba au choo, au jiko tafadhali toa ushauri wako!

Foor Plan yake ni hii hapa chini___View attachment 1874471
Hapo kwenye WC na store.
Waweza kuweka WC. Then store ikakae kitchen.
Lkn pia .Muhimu ukaangalia namna ya kuiweka hiyo bedroom ilobanwa na WCs.

MFANO: waweza weka bedroom upande uloweka kitchen.ukaiondoa na kitchen verandah,ukaja kuviweka upande uliotoa bedroom.
 
Kama hivi ee?
JPEG_20210731_121017_4141007024668274190.jpg
 
Angalia hizi idea, ila nikushauri tu, hapo kwenye hiyo nyumba utakayojenga utatumia milioni kadhaa, sasa uache ubahiri wa kutafuta mtaalamu akusaidie, hii ni fani ya watu kaka, na pia msipende ramani za ku Google nyingi haziendani na maisha yetu

View attachment 1882388

View attachment 1882389

View attachment 1882390
Ila usiwakatishe tamaa watu kuhusu Google mkuu. Hata ww unajifunzia kupitia Google. Kwa hio ni vizuri mtu aingie Google na akiona haiendani na yeye si anaachana nayo tu?
 
Back
Top Bottom