Naomba Data kuhusu Matunda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Data kuhusu Matunda

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitia, Oct 1, 2008.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za:

  1. Aina ya matunda mbali mbali
  2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu
  3. Misimu ya kila aina ya tunda,

  hasa katika mikoa ya Morogoro, Pwani,Iringa na Tanga. Maelezo ya mikoa mingine pia kama yapo yatapokelewa.

  Wasiliana nami kupitia nasara.oy@gmail.com au tumia PM.

  Natanguliza shukrani
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Samahani,
  Nimeshindwa kuelewa, kwanini kwa njia hizo badala ya hapa upenuni?  .
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  hana jipya aende wizara ya kilimo na ushirika
   
Loading...