Naomba Curriculum Vitae (CV) ya Wallace Karia, Rais wa sasa wa TFF

Habari.

Kuna mambo yanatokea katika hili shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) yanabaki kushangaza umma kwa aibu.

Sasa yanafanya mtu kujaribu kufatilia watu waliopo kwenye uongozi kufahamu CV zao.

Hebu tusaidieni CV ya Wallace Karia tumfahamu maana tunaweza kuwa tunamlaumu bure kumbe tunamuonea.

Maana soka la bongo linachafuliwa kweli kweli na nyundo ya FIFA ikitukosa tena basi tushukuru.
We ni nani?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom