Naomba contact za naibu waziri wa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba contact za naibu waziri wa kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by wiseboy, Jan 16, 2012.

 1. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,562
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  habari zenu jamani, pls aliye na contact za naibu waziri wa kazi makongoro mahanga ani PM, NASIKIA YUPO ARUSHA NAMI NIPO ARUSHA LAKINI KWENYE HII KAMPUNI NINAYOFANYA INTERNSHIP KUNA UBAGUZI WA RANGI (Kwa mfano kuna mwarabu mmoja toka misri ameondoa viti katika kiofisi nilichopewa nipumzike kwa madai kwamba sina haki ya kukalia kiti, yeye ni msitaafu huko nchini kwao na mm ni graduate from school, je kuna yoyote anaweza kutoa msaada nifanyeje katika unyanyasaji huu WA RANGI ninaofanyiwa nikiwa nchini kwangu. PIA GENERAL WORKERS WANAFANYA KAZI KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, (MACHAFU) NA WAKIKOPLAIN HAWASIKILIZWI. ASANTENI
   
 2. +255

  +255 JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,862
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nimeku pm mkuu
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Pole sana na matatizo yaliyokufika. Mimi yalinikuta NSSF( udini)
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,329
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Pole na masahibu hayo.
   
 5. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 358
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni pm .nikutumie.
   
 6. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 234
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Dah inauma sana,pole ndugu yangu bt plz ukiwasiliana naye tujulishe tujue n hatua gani serikali inawafanyia hao jamaa wanaotunyanyasa na kutudhalilisha nchini mwetu!
   
 7. t

  thesolomon Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuh na mimi yalinikuta TRa udini na ukabila kupindukia
   
 8. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,562
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  asanteni kwa wale mlionipa pole, namshukuru yule aliyeni pm ni kweli zile ni namba zake na amezisajili kwa jina lake, nimeisha mpa taarifa huyo mheshimiwa nasubiri respond yake... asanteni watanzania wapendwa
   
 9. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Sasa aku PM nn wakati shida yake imejieleza..? ww PM hiyo namba basi sio mambo mengine
   
Loading...