Naomba Connection ya mtu aliyepo WFP Tanzania

Mwinajr25

Member
Sep 26, 2020
79
150
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo!

Poleni na Majukumu ya kimaisha na harakati za kila siku.

Leo nakuja kwenu tena hapa nikiomba kuunganishwa na mtu ambaye anafanya kazi pale shirika la chakula Duniani (Tanzania)
WFP hasa kitengo cha ajira.

Lengo ni kuwa niweze kuteta naye machache.

Asante sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom