Naomba connection ya kazi yoyote, nina Diploma ya Pharmacy

musa abel jr

Member
Oct 12, 2016
39
57
Habari wana JF,

Mimi ni kijana umri miaka 23 nimemaliza Diploma ya Pharmacy mwaka juzi nahitaji connection ya kuuza DLDM au Pharmacy au kazi yeyotee maana saiv yukiangalia taaluma tutalala njaaa mahali popote nafika ingawa kwa sasa nipo shinyanga na ndo nyumbani.

Namba zangu
0622567654 au 0718927103

Naomba kuwasilisha
 
Habari wana JF mm ni kijana umri miaka 23 nimemaliza diploma ya pharmacy mwaka juzi nahitaji connection ya kuuza dldm au pharmacy au kazi yyte maana saiv yukiangalia taaluma tutalala njaaa mahali popote nafika ingawa kwa sasa nipo shinyanga na ndo nyumban
namba zang
0622567654 au 0718927103
naomba kuwasilisha
mbona baba yenu alikuwa anaajiri Sana watu wa Kanda hiyo
 
Habari wana JF mm ni kijana umri miaka 23 nimemaliza diploma ya pharmacy mwaka juzi nahitaji connection ya kuuza dldm au pharmacy au kazi yyte maana saiv yukiangalia taaluma tutalala njaaa mahali popote nafika ingawa kwa sasa nipo shinyanga na ndo nyumban
namba zang
0622567654 au 0718927103
naomba kuwasilisha
mbona baba yenu alikuwa anaajiri Sana watu wa Kanda hiyo. Nashangaa unalalamika wengi wanapata mashavu wewe ulikuwa wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom