Naomba connection ya huyu underground female singer au studio iliyorekodi hii cover wadau. Thanks.

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,840
2,000

Heshima kwenu wakuu...!

Kuna kazi inayotakiwa kurekodiwa inahitaji underground female singer that's why nimeomba msaada wa mtu yoyote anayemfahamu huyo sister au studio or producer aliyerekodi hiyo cover tafadhali.

Najua JF inatembelewa na wengi hivyo naamini ombi langu litafanyiwa kazi na wadau wa humu.

Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
 

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,840
2,000
ndo meneja au sio?
au producer?

Wanaume huwa hawana maneno mengi kama watoto wa kike wanaume vyao ni vitendo tu and actions speak louder than words.

Screenshot_20200810-203636.png


Producer anaitwa Rubanza Jay na tayari nimeshapata mawasiliano yake kwa hiyo wee endelea na tabia za kike ndugu.

Screenshot_20200810-204115.png


Acha kazi iendelee. Hapa kazi tu.

😃😃😃😃😃😃
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom