Naomba conection mwenye gari ya manual kubwa, nahitaji kupata uzoefu

Kingthe

Senior Member
May 12, 2018
105
90
Habari za majukumu ndugu zanguni,

Kama kichwa kinavyojieleza, naomba conection walau nusu saa au chini ya nusu saa kuendesha gari ya manual kubwa kama coaster au tata walau wiki mja tuu ili nipate uzoefu niweze kuongeza daraja la lesseni yangu NIT.

Ikiwa kunagharama za kuchangia nitakua tayari kuchangia naomba kuwasilisha asanteni.
 
Tembelea vijiwe vya daladala upige deiwaka
 
Back
Top Bottom