Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,912
Kukabiliana na CCM tunahitaji watu wenye misimamo isiyoumba na wenye ujasiri kama Godbless Lema au Tundu Lissu kuiongoza CHADEMA, Ismaili Jussa kuiongoza CUF na David Kafulila kuiongoza NCCR.Tunahitaji strong combination ya vijana kama hawa kutufikisha katika nchi ile ya ahadi.Tofauti na hapo,tunajidanganya.
Sina imani kama mitazano na fikra za kiutu uzumi za watu walio katika rika la mh.Mbowe au James Mbatia zinaweza kutuletea mabadiliko tunayoyataka. Tunahitaji watu wasiomung'unya maneno kuongoza upinzani bila hivyo tusahau.
Kabla ya kuendelea kufikiri mabadiliko,tunahitaji kwanza kufikiri mabadikiko ndani ya upinzani wenyewe.

Last edited: