Elections 2010 Naomba CCM ishinde kwa 100% Eee Mungu nisaidie na nisamehe


Wewe, kama walivyo makada wengi wa CCM, na 'wafuasi' lukuku, hukuelewa kabisa nilichoandika simply because pamoja na yote uliyosema bado unan'gan'gania CCM hushinda kwa njia ya halali kabisa in a very level playing field. Kwa mfano, kwa jinsi akili yako ilivyogandia upande mmoja, katika topic yalo hukuitaja kabisa NEC (tume ya Uchaguzi) jinsi isivyo halali na huru! Na hiki ndicho kitu kikubwa kulikoi vyote katika chaguzi za kidemokrasia halisi.

Kama bado unao ubavu kuhusu hili la NEC, tulijadili kwa kinana uone iwapo CCM imekuwa ikishionda kwa halali. Come on....

Well said Zak. Ukiacha uhovyo na uharamu wa NEC, kuna mengine mengi ambayo hayko sawa katika kuleta demokrasia ya usawa, mambo ambayo serikali ya CCM inayafahamu sana na haitaki kuyarekebisha kwa sababu inaogopa itakuja kupoteza madaraka. Mengi sana!
 
I don't think that it is a good idea.WHY CAN'T WE WAIT FOR OCTOBER AND SEE THE RESULT .?
 

Wewe, kama walivyo makada wengi wa CCM, na 'wafuasi' lukuku, hukuelewa kabisa nilichoandika simply because pamoja na yote uliyosema bado unan'gan'gania CCM hushinda kwa njia ya halali kabisa in a very level playing field.

Kadi ya CCM Ulinipa wewe?

Kwa mfano, kwa jinsi akili yako ilivyogandia upande mmoja, katika topic yalo hukuitaja kabisa NEC (tume ya Uchaguzi) jinsi isivyo halali na huru! Na hiki ndicho kitu kikubwa kulikoi vyote katika chaguzi za kidemokrasia halisi.

Napenda Ikiwezekana hiyo tume inyang'anye Upinzani majimbo Mengine kama Karatu, Kigoma Kaskazini, Moshi Mjini, Tarime, Mpanda na ya Pemba yote. Hakika Tume ikifanya hivyo Nitamshukuru sana jaji makame

Kama bado unao ubavu kuhusu hili la NEC, tulijadili kwa kinana uone iwapo CCM imekuwa ikishionda kwa halali. Come on....

Kubali kataa Ukweli ndio huo ingawa Unauma Lakini CCM hushinda kihalali ktk maeneo mengi tu

Mwisho kabla hujanipa Ukada wa chama chochote rudia nilichokiandika na Uelewe ni namaanisha
 
Back
Top Bottom