Naomba apatikane Msuluhishi Huru kuhusu mahusiano kati ya Mh Paul Makonda na Askofu Gwajima

Hivi kumbe huwa unasoma posti zangu? Hahaha, kwani ni uongo kusema mungu wa gy ni mungu wa kurushia wengine mapepo? Ktk ukristo Mungu wetu ni Mungu wa huruma, husamehe na kuombea adui zake, ni Mungu wa kikristo ni Mungu wa upendo na habagui. mungu wa gy anaruhusu kutukana watu madhabahuni, ni mungu anayeruhusu kuuza madawa
Ndiyo hua nasoma, niliuliza kwa sababu sikua na uhakika kama ni wewe au ni wakudadavuwa.

Swala langu mimi halikua kwa mungu wa Gwajima, lilikua kwenye conclusion yako ya kusema Clouds ni chombo cha wauza madawa, ukasahau Makonda na Magufuli ni wapenzi wakubwa wa hiko kituo.

Kibantu tunasema ukitembea na mwizi...?

Na hapo hapo yuko bize na GSM, yuko na zawadi za kutoka GSM na aliowataja kua ni drug dealers.

Wasomi wetu mnaenda wapi?
 
mpumbav kama huyu haitaji usuluhishi. sijawahi kuona mjinga kama huyo, na inawezekana kweli anatoa ........
 
Wote wawili wanahitaji suluhu hatuwezi kuingia ktk UJINGA unaofanywa na watz wote wakawa washangiliaji kila ukifika Jpili.

Na waandishi wote wa habari wanapiga kambi kanisani siku ya jpili kusikiliza udaku hatuwezi kuruhusu UJINGA kama huu ukaendelea.

Na ndiyo maana tunachekwa hata na majirani zetu kwa UJINGA wetu kwasababu tuna acha vitu vya msingi tunahangaika na ushabiki wa udaku never and ever.
 
Mmoja yupo na hapa kazi tu na ni kiongozi jembe

Mwingine kapata wanya ya biashara yake kuongeza kipato, na amewapata wengi kweli kweli haswa kwa kikaratasi.

Hapa kazi tu, hakuna kubembelezana hata iweje.

Makonda oyeeeeeee

Huyo Mkwapuaji wa Mali za Wafanyabiashara kwa kuwasingizia ni dug dealers??Halafu anajifanya anatafutwa,anatafutwa na nani fiaruni tu huyo.
 
Wanabodi wa JF tusaidiane mawazo ktk hili.

Ni muda sasa naona kumekuwa na mapambano na mashambulizi Mara baada ya Askofu Gwajima kutangazwa hadharani na Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar kuhusiana na vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Askofu Gwajima amekuwa kila Jumapili ktk Ibada zake ni kutoa mashambulizi dhidi ya Paul Makonda kitu ambacho sidhani kama ni fair sana kwa waumini wake lakini inaweza kuwa ni furaha kwa sisi wapenda story za udaku.

Kwa uzoefu wangu kijamii naona hali mbele ya safari si salama sana kwasababu mashambulizi ya kudhalilishana Mara nyingi mwisho wake huwa ni mbaya.

Na Askofu amediriki kusema jpili hii kuwa haogopi kufa sasa naona ameanza kuweka mazingira fulani kwa waumini wake kuwa kuna tukio linaweza kutokea na yeye yuko tayari.

Sasa mahubiri kama hayo kwangu Mimi si mazuri sana ...mfano siku imetokea bahati mbaya baya lolote limemtokea unafikiri waumini watafikiri nini cha kwanza??

Nilikuwa na mtazamo tu kabla hatujafika mahali pabaya naomba watu wenye busara waangalie namna ya kuwasuluhisha watu wawili ili amani moyoni mwao itawale.

Ni wazo tu lakini kwasababu naona mambo yanayoongelewa juu ya mwinhine ni mambo binafsi

Nawasilisha
58ee704b547cdec3946c9b7aadc96176.jpg

Standards za Mwenyezi Mungu. Wala Yeye hana jino kwa jino!! Kama mmojawapo angekuwa mtumishi wa Mungu aishiye wala tusingefika huku
 
Wanabodi wa JF tusaidiane mawazo ktk hili.

Ni muda sasa naona kumekuwa na mapambano na mashambulizi Mara baada ya Askofu Gwajima kutangazwa hadharani na Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar kuhusiana na vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Askofu Gwajima amekuwa kila Jumapili ktk Ibada zake ni kutoa mashambulizi dhidi ya Paul Makonda kitu ambacho sidhani kama ni fair sana kwa waumini wake lakini inaweza kuwa ni furaha kwa sisi wapenda story za udaku.

Kwa uzoefu wangu kijamii naona hali mbele ya safari si salama sana kwasababu mashambulizi ya kudhalilishana Mara nyingi mwisho wake huwa ni mbaya.

Na Askofu amediriki kusema jpili hii kuwa haogopi kufa sasa naona ameanza kuweka mazingira fulani kwa waumini wake kuwa kuna tukio linaweza kutokea na yeye yuko tayari.

Sasa mahubiri kama hayo kwangu Mimi si mazuri sana ...mfano siku imetokea bahati mbaya baya lolote limemtokea unafikiri waumini watafikiri nini cha kwanza??

Nilikuwa na mtazamo tu kabla hatujafika mahali pabaya naomba watu wenye busara waangalie namna ya kuwasuluhisha watu wawili ili amani moyoni mwao itawale.

Ni wazo tu lakini kwasababu naona mambo yanayoongelewa juu ya mwinhine ni mambo binafsi

Nawasilisha
Utasuruhisha vipi hali ya kuwa hata makosa yao hujayabainisha? Na upande mwingine unakingiwa kifua huyu mwingine afanye nini. Kila mtu kwa ulefu wa kamba yake
 
Waebrania : Mlango 12

14 Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;

MATHAYO 5

43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;

44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?

47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?

48 Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
 
Makonda atoe vyeti huo ndio ugomvi uliopo
Vyeti sio suluhu ndugu may be hujui nyuma ya pazia kuna nini.

Wazee wajitokeze kumaliza mzozo huu

Kamati ya Amani ya mkoa ikiongozwa na Shehe Mkuu wa mkoa jamani angalieni hawa vijana ktk kuliweka Jiji na watu wake ktk amani.
 
Wanabodi wa JF tusaidiane mawazo ktk hili.

Ni muda sasa naona kumekuwa na mapambano na mashambulizi Mara baada ya Askofu Gwajima kutangazwa hadharani na Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar kuhusiana na vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Askofu Gwajima amekuwa kila Jumapili ktk Ibada zake ni kutoa mashambulizi dhidi ya Paul Makonda kitu ambacho sidhani kama ni fair sana kwa waumini wake lakini inaweza kuwa ni furaha kwa sisi wapenda story za udaku.

Kwa uzoefu wangu kijamii naona hali mbele ya safari si salama sana kwasababu mashambulizi ya kudhalilishana Mara nyingi mwisho wake huwa ni mbaya.

Na Askofu amediriki kusema jpili hii kuwa haogopi kufa sasa naona ameanza kuweka mazingira fulani kwa waumini wake kuwa kuna tukio linaweza kutokea na yeye yuko tayari.

Sasa mahubiri kama hayo kwangu Mimi si mazuri sana ...mfano siku imetokea bahati mbaya baya lolote limemtokea unafikiri waumini watafikiri nini cha kwanza??

Nilikuwa na mtazamo tu kabla hatujafika mahali pabaya naomba watu wenye busara waangalie namna ya kuwasuluhisha watu wawili ili amani moyoni mwao itawale.

Ni wazo tu lakini kwasababu naona mambo yanayoongelewa juu ya mwinhine ni mambo binafsi

Nawasilisha
Wewe nn? Unataka wawasuruhishe alafu story za magazeti yetu tutapata wapi? Maana tasnia ya uandishi wa habari inafaidika na kuandika maswala ya udaku kuliko hata maswala ya uchumi na vitu vinginevyo. Na sasa ivi magazeti yanatoka sana na hata kiwango cha kuchapa magazeti kimeongezeka
 
Wanabodi wa JF tusaidiane mawazo ktk hili.

Ni muda sasa naona kumekuwa na mapambano na mashambulizi Mara baada ya Askofu Gwajima kutangazwa hadharani na Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar kuhusiana na vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Askofu Gwajima amekuwa kila Jumapili ktk Ibada zake ni kutoa mashambulizi dhidi ya Paul Makonda kitu ambacho sidhani kama ni fair sana kwa waumini wake lakini inaweza kuwa ni furaha kwa sisi wapenda story za udaku.

Kwa uzoefu wangu kijamii naona hali mbele ya safari si salama sana kwasababu mashambulizi ya kudhalilishana Mara nyingi mwisho wake huwa ni mbaya.

Na Askofu amediriki kusema jpili hii kuwa haogopi kufa sasa naona ameanza kuweka mazingira fulani kwa waumini wake kuwa kuna tukio linaweza kutokea na yeye yuko tayari.

Sasa mahubiri kama hayo kwangu Mimi si mazuri sana ...mfano siku imetokea bahati mbaya baya lolote limemtokea unafikiri waumini watafikiri nini cha kwanza??

Nilikuwa na mtazamo tu kabla hatujafika mahali pabaya naomba watu wenye busara waangalie namna ya kuwasuluhisha watu wawili ili amani moyoni mwao itawale.

Ni wazo tu lakini kwasababu naona mambo yanayoongelewa juu ya mwinhine ni mambo binafsi

Nawasilisha
Makonda anahusikaje wakati siku zote alikua anauliza kiburi anapewa na nani, na jana amejua!
Gwajima anatakiwa apambane na mh rais, makonda hana kosa.
 
Utasuruhisha vipi hali ya kuwa hata makosa yao hujayabainisha? Na upande mwingine unakingiwa kifua huyu mwingine afanye nini. Kila mtu kwa ulefu wa kamba yake
Wenye busara wanajua kila mmoja na makosa yake!

Na ndiyo maana unaona ktk mitandao watu wamegawanyika upande mbili.

Upande mmoja unaona Mch Gwajima yuko safi na upande mwingine unafikiri Paul Makonda yuko safi.
 
Makonda anahusikaje wakati siku zote alikua anauliza kiburi anapewa na nani, na jana amejua!
Gwajima anatakiwa apambane na mh rais, makonda hana kosa.
Suluhu ni Gwajima na Makonda wala si Rais
 
Makonda wakati anashambulia hamkumwambia atumie hekima ila anapigwa yeye mnaanza kufumbua midomo.
 
Kuna muda ukifika kuna jambo Fulani kufanyika ni muhimu.

Hakuna anayepigwa bali tunataka watanzania wasitekwe akili zao na kuacha mambo ya msingi ili tusubiri episode.
 
Back
Top Bottom