Naomba anayejua procedure za kukata rufaa matokeo ya ualimu necta

Sir M.D.Andrew

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
201
37
Ndugu zangu,nina kijana wangu amemaliza kozi ya ualimu mwaka huu,amefauru masomo yote ya ualimu wa primary isipokuwa somo moja tu la UALIMU,Akaandikiwa FAILED,Nahitaji kukata rufaa naomba msaada mwenye kujua anieleweshe.tafadhali sana
 
Ndivyo ilivyo siku hizi. Mbona toka mwaka jana hiyo angalia matoke ya mwaka jana uthibitishe
 
Kwa nini usumbuke kukata rufaa. Msaidie tu ajiandae aende kufanya marudio (resit) maana nasikia vyuo vya ualimu inaruhusiwa
 
Ndugu zangu,nina kijana wangu amemaliza kozi ya ualimu mwaka huu,amefauru masomo yote ya ualimu wa primary isipokuwa somo moja tu la UALIMU,Akaandikiwa FAILED,Nahitaji kukata rufaa naomba msaada mwenye kujua anieleweshe.tafadhali sana

"Failed"means hafai kuwa mwalimu,mwambie atafute fani nyingine...
Jamani ualimu ni fani na talanta pia
 
Nimekosa msaada wenu,mmeanza kunitusi badala ya kunisaidia,si vizuri tuko hapa kujuzana na kuhabarishana,dado naomba msaada wenu
 
Humu hutapata majibu ya kueleweka,nakushauri tafuta contacts za necta uwasiliane nao wenyewe ndo watakupa maelekezo,vinginevyo humu utakejeliwa tu ingawa najua ni wewe ila tu umeamua kuuliza kiujanja kwa kumsingizia kijana wako.
 
Umeona eeeee
 
Ndugu zangu,nina kijana wangu amemaliza kozi ya ualimu mwaka huu,amefauru masomo yote ya ualimu wa primary isipokuwa somo moja tu la UALIMU,Akaandikiwa FAILED,Nahitaji kukata rufaa naomba msaada mwenye kujua anieleweshe.tafadhali sana

mkuu ni kawaida kama amefeli ualimu wenyewe hawana tija na wewe ni afadhali angefeli masomo mengine kuliko hilo asante.
 
Binafsi sijafeli,wala sikubahatika kusomea ualimu,nimegradute Degree ya geology KENYA,niko mgodi wa bulyanhulu kahama,unaposema eti mimi ninasingizia nakushangaa sana,hapa nilijua ni home of great thinkers ndo nikajua nitapata jawabu
 
Sasa kaka point yako ni kufail somo 1 au ni vipi? Kwa jinsi navyoelewa mwalimu huwezi ukawa mwalimu bila kufaulu somo la ualimu lenyewe kwa jinsi iyo bac huyo kijana hafai kuwa mwalimu japokua kafaulu masomo mengine na hata uki'appeal utakua unapoteza muda tu jaribu chukua means zingine kama kuresit inawezekana mwambie akaresit, ni hayo tu mkuu.
 
Anaweza kwenda kurisiti palepale shuleni kwake au sehemu nyingine? Ahsante naona kumbe mpo wenye mawazo ya kusaidia mtu
 
Back
Top Bottom