Naomba anayejua mahitaji ya ku-apply mkopo loan board

konrad

Member
Jun 10, 2015
80
8
Naomba anayejua vitu ambavyo vinahitajika katika kuomba mkopo mwaka wa masomo 2016/2017
Anisaidie jamani
 
Hivi shule mlienda kufanya nini? kama umeweza kulog in Jamii Forum kwa nini usiingie kwenye website ya Loan Board.?

Anyway , ngoja waje wakopeshwa walionufaika kipindi kilichopita.
 
Nimeomba kujua Bro siyo kwamba ndo iwe hivyo anyway asante
 
Back
Top Bottom