Naomba anayefahamu maisha ya Rwanda anipe mwongozo

Lakini pia nakuibia tu usimwambie mtu. Kuna vimwana hatari vya Kitutsi kama hivi hapa. Ukihitaji mmoja wapo awe mwenyeji wako nijulishe haraka.
Screenshot_20200318-174204_Instagram.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana ardhi ndogo kwa hio chakula sehemu kubwa kinatoka Tz especially mchele,so wabongo wanapeleka sana mchele na vyakula vingine huko.

Kutokana na mgogoro wa Rwanda na Uganda kwa sasa 90% ya bidhaa zinazoingia Rwd zinapitia bandari ya dar,so unaweza kuangalia namna ya kufaidika na hali hio.

Biashara yoyote ile inafanyika cha msingi uwe na vibali tu na wako very serious na suala la kukusanya kodi.

Rushwa hakuna,usije ukajichanganya kutoa rushwa kwa askari au kwny mamlaka za serikali watakupa tabu sana.

Story za kuulizana makabila hawana(ni kitu sensitive kwao).

Khs usalama,ni 1 kati ya nchi salama zaidi Africa,patrol ya kijeshi/police ni 24/7 na hawana habari za kukamata raia,ukilewa zako usiku na ukaona huwezi kufika kwako we ukimuona mjeda/police yuko patrol we mwambie nimelewa na siwezi kufika home utalala hapo pembeni yake mpk asubuhi utakapoamka cha msingi usifanye vurugu ukiamka ondoka zako hakuna kitu atakufanya wala kukuomba hela,huyo anayesema wanachinjana nadhani ni wale wazee wa elimu za hapa na pale.View attachment 1395541


Ukifika huko story za kumtaja taja Kagame kwny vijiwe vya story achana nazo,ukianza hizo story utaona tu wananchi wananyanyuka wanasepa.Inshort pale ni mkono wa chuma uko kazini,we kachape kazi iliyokupeleka siasa achana nazo.

Kigali ni mji expensive kiasi kuishi,so itategemea unataka kuishi eneo huko Rwanda.

Ukitoa Tsh 243,000 unapewa hela ya rwanda Rwf 100,000 na vitu vya kununua ni expensive kidogo pia maana vitu vingi wana export.

Wadau wengine wataendelea.
Comment hii imekupa ukweli kwa kiasi kikubwa sana kwa nchi ya Rwanda. Namiaka kama mitano sijaenda ila huu ndio uhalisia wenyewe.
 
Jitayarishe na K zenye misimi kama mgongo wa kinyonga usisahau kilago cha kumpa aweke chini mnapolala la sivyo utalala chini wanalowesha sana magodoro kwa maji. Maisha yapo juu sana. Ukikwama kuna sehemu wanapaki magari ya Tanzania karibu na hotel ya Okapi. Uchafu wako ukauache kahama.

Sent using Jamii Forums mobile app
ilishanikuta hii ikabidi nikeshe bila kupenda
 
Wazuri sana halafu ulinzi ni uhakika ukimchukua anaacha kitambulisho mapokezi na asubuhi unamkabidhi chake unampeleka mapokezi. Sio Buguruni hofu tu. Mkuu maji ni uhai wanatoa sana maji halafu wanamisimi imejaa utadhani kaweka kipande cha sabuni mbunju. Mazuri kweli. Huku akina havinitishi hawana maji mishauo kibao fyuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kweli we mndegereko.
Havintishi ndio majina ya rfj
 
Ni kugumu hasa kama unatoka tanzania kwa kuwa fedha yao ni kubwa ukilinganisha na fedha ya Tanzania faranga kuwa tshs utachukia nenda Uganda au zambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Aende uganda ila Zambia , Maisha yapo juu Balaa pesa yao KWACHA imekuwa na thamani maradufu kulingana na pesa yetu ya madafu.
Wachana na maneno ya mataani kuwa pesa ya Zambia aina thamani.
Naongea kwa kujiamini kwasababu nimeishi zambia kwenye miji ya Lusaka, livingstone na Ndola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu
Sina mengi zaidi Naomba anae faham maisha ya rwanda anipe mwongozo
(1) Kibiashara
(2)Kilimo No


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia napapenda sana Rw nataman niishi nchi hii now namalzia mingo zangu mwishon mwa mwaka huu naplan za kwend kuresearch Kigal for even only 3weeks or + kikibw nitaangalia market 4 business
kingne naskia hawadhamin sana mambo za vyeti ilimrad 2 uwe na ujuzi+utaalam wa kitu mbal na biashar nina Journalism level nzur tu nawez pata ata media ya kupigisha content za kiswahili?...
 
~ na hii corona watakuruhusu uingie?
Bora usubiri hali ya corona itulie kwanza..
 
Labda Aende uganda ila Zambia , Maisha yapo juu Balaa pesa yao KWACHA imekuwa na thamani maradufu kulingana na pesa yetu ya madafu.
Wachana na maneno ya mataani kuwa pesa ya Zambia aina thamani.
Naongea kwa kujiamini kwasababu nimeishi zambia kwenye miji ya Lusaka, livingstone na Ndola.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwahyo unamanisha Zambia hapafai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom