Amosi Asanali
Member
- Oct 9, 2012
- 46
- 5
Habari wana jf. Tatizo langu ni kichwa kinanisumbua sana, kila nikiconcetrate kidogo tu kinaanza kuuma kwa nyuma pamoja na mishipa ya nyuma ya shingo kuelekea kisogoni. Naombeni msaada ndugu zangu kwa anayefahamu, nifanye nn kutatua hili tatizo.