Naomba anayefahamu hili tatizo anipe suluhisho.

Amosi Asanali

Member
Oct 9, 2012
46
5
Habari wana jf. Tatizo langu ni kichwa kinanisumbua sana, kila nikiconcetrate kidogo tu kinaanza kuuma kwa nyuma pamoja na mishipa ya nyuma ya shingo kuelekea kisogoni. Naombeni msaada ndugu zangu kwa anayefahamu, nifanye nn kutatua hili tatizo.
 
Mkuu Peleka Hii Thread Jf Doctors Bila Shaka Wataalamu Watakusaidia!!

''Pole''
 
Habari wana jf. Tatizo langu ni kichwa kinanisumbua sana, kila nikiconcetrate kidogo tu kinaanza kuuma kwa nyuma pamoja na mishipa ya nyuma ya shingo kuelekea kisogoni. Naombeni msaada ndugu zangu kwa anayefahamu, nifanye nn kutatua hili tatizo.

Nenda hospital, kwa uhakika zaidi.
 
Pole sana,hiyo ni dalili ya pressure ndg yetu,kwa uhakika nenda kwa mtaalamu wa mifupa.
 
Back
Top Bottom