Obadiahmayunga
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 163
- 109
i love doing all musicJe unajua muziki?
Je unataka utengeneze muziki wa aina gani?
Labda nijibu kwanza hayo maswali kisha niweze kueleza zaidi. Kwa upande wangu as Music expert.
So huo music uliotengeza beat ni mziki aina gani?i love doing all music
Yes hii ndio point muhim. Inabidi aende shule kwanza aelewe basics za music. Siyo hii ya kutumia FL Studio bila hata kujua music.mshauri tu aende shule
okay naomba unipatie shule kaka please wapi nakosea wapi napatia napenda saaaaaaaaaana hiphop music unajua beat maker ndio wanatransformmusic kama vile bob marley alivyochanganya ska and jazz and r&b nakuzalisha reggae musici love doing all music
i know the basic of music kaka sio kilaza saaaaaanaThis is 1/4 Beat or you can called it 4/4
piano playing i know it ndio maana beats zangu saaana nacompose saaana piano samples nilizoplay mwenyeweThis is 1/4 Beat or you can called it 4/4
Ungekuwa unajua ninauhakika ungeelewa kuna makosa gani kwenye hizo beats zako. Wewe huelewi kwanini nimekuuliza unataka kutengeneza music wa aina gani?i know the basic of music kaka sio kilaza saaaaaana
napenda kuproduce music wowote ule kakaUngekuwa unajua ninauhakika ungeelewa kuna makosa gani kwenye hizo beats zako. Wewe huelewi kwanini nimekuuliza unataka kutengeneza music wa aina gani?
Naomba kwanza unijibu swali hilo.
kaka naomba utoe elimu yakokwangu no need of many words kakaUngekuwa unajua ninauhakika ungeelewa kuna makosa gani kwenye hizo beats zako. Wewe huelewi kwanini nimekuuliza unataka kutengeneza music wa aina gani?
Naomba kwanza unijibu swali hilo.
yeah hapo nakuelewa manHii beat ni 3/4 or 1/3
Baada ya kujifunza beat. Unatakiwa kujifunza "NOTE"kaka naomba utoe elimu yakokwangu no need of many words kaka