Naomba aliye na Encarta 2009 au 2010

Joined
May 26, 2009
Messages
38
Likes
0
Points
13

LINC

Member
Joined May 26, 2009
38 0 13

Nimefanikiwa kudownload kwenye hii link kwa megaupload ila sasa nashindwa nifanyeje. files hazipo compressed its like an Image ready to burn

stde09-xiso-egydown-mu.iso.001
stde09-xiso-egydown-mu.iso.002
stde09-xiso-egydown-mu.iso.003
stde09-xiso-egydown-mu.iso.004

je natakiwa kufanya nini hapa sababu hata nikisema nifanye burning it means DVD moja moja. au unashauri vipi
 
Tumsifu Samwel

Verified User
Joined
Jul 30, 2007
Messages
1,405
Likes
6
Points
135

Tumsifu Samwel

Verified User
Joined Jul 30, 2007
1,405 6 135
Nimefanikiwa kudownload kwenye hii link kwa megaupload ila sasa nashindwa nifanyeje. files hazipo compressed its like an Image ready to burn

stde09-xiso-egydown-mu.iso.001
stde09-xiso-egydown-mu.iso.002
stde09-xiso-egydown-mu.iso.003
stde09-xiso-egydown-mu.iso.004

je natakiwa kufanya nini hapa sababu hata nikisema nifanye burning it means DVD moja moja. au unashauri vipi
Mkuu unaweza download Magic Iso Maker kufungua hizo file na kuziunganisha . download hapa chini, ukimaliza kudownload install setup ya Magic Iso ukimaliza install Registry key For Full Version hapa chini.
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=8211&stc=1&d=1266499853
 
Forum statistics

Threads 1,204,150
Members 457,147
Posts 28,143,155