Naomba Albert Msando Anijibu Kwa Niaba Ya Mteja Wake.

Kabwena

Senior Member
Jun 17, 2013
104
195
Mwanasheria Kijana Albert Msando Anayemtetea Zitto Kabwe Amezungumza Na Wanahabari Juzi Na Kusema Mengi Ila Kubwa Ni Kuwa Mteja Wake Anakata Rufaa Kwa Mambo Mawili, 1. Utaratibu Haikufuatwa Kumwajibisha ZZK
2. hata kama utaratibu ulifuatwa ZZK hahusiki na waraka husika
# naomba msando anijibu yafuatayo,
a} anajua kuwa zitto alisema kwenye press conference, kuwa laiti kama angepewa waraka mapema na kina kitila angeanza kuufanyia kazi?{ameonyesha nia ya kutenda kosa}
b} licha ya zitto kusema hahusiki na haujui waraka mbona alitamka yaleyale ya kwenye waraka?- hii ni vita kati ya wapenda demokrasia na wahafidhina, hii ni vita kati ya wapenda siasa na utawala bora dhidi ya watukuzao siasa maji taka na wabadhirifu{content sawa na waraka anaoukana ulivyosema}
** jee kwa maneno haya zitto anajitofautishaje na waraka? anaposema hahusiki alaf akaongezea kwa kuhoji huku akimtazama kitila"kwann hamkunipa mapema ili nianze kuufanyia kazi?" anamaana waraka upo sawa.
NAOMBA VIONGOZI MGUNDUE JANJA YA ZZK KUUKANA WARAKA!!
 
wambeke

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
2,656
2,000
kweli Zitto mzito kila kona zitto ukienda kwa wall ya mchungaji msigwa utamkuta zitto kila blog zito kweli zitto anasumbua watu Nchi hiii
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,228
2,000
kwa nini usipeleke ombi lako uvccm ? inasemekana hao ndiyo wenye nguvu ya kuandaa mikutano ya ZITTO & CO .
 
mbinguni

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
2,430
2,000
Kamanda huyo wakili wa zito ni kanjanja.
Mwanasheria Kijana Albert Msando Anayemtetea Zitto Kabwe Amezungumza Na Wanahabari Juzi Na Kusema Mengi Ila Kubwa Ni Kuwa Mteja Wake Anakata Rufaa Kwa Mambo Mawili, 1. Utaratibu Haikufuatwa Kumwajibisha ZZK
2. hata kama utaratibu ulifuatwa ZZK hahusiki na waraka husika
# naomba msando anijibu yafuatayo,
a} anajua kuwa zitto alisema kwenye press conference, kuwa laiti kama angepewa waraka mapema na kina kitila angeanza kuufanyia kazi?{ameonyesha nia ya kutenda kosa}
b} licha ya zitto kusema hahusiki na haujui waraka mbona alitamka yaleyale ya kwenye waraka?- hii ni vita kati ya wapenda demokrasia na wahafidhina, hii ni vita kati ya wapenda siasa na utawala bora dhidi ya watukuzao siasa maji taka na wabadhirifu{content sawa na waraka anaoukana ulivyosema}
** jee kwa maneno haya zitto anajitofautishaje na waraka? anaposema hahusiki alaf akaongezea kwa kuhoji huku akimtazama kitila"kwann hamkunipa mapema ili nianze kuufanyia kazi?" anamaana waraka upo sawa.
NAOMBA VIONGOZI MGUNDUE JANJA YA ZZK KUUKANA WARAKA!!
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,276

CDM kuendelea kupepesa macho dhidi ya Zitto na wafuasi wake ni kufuga tende; Get rid of this earthworm forthwith. period
 
tetere

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
963
225
Jamani huyu zitto si tuachane naeeeeee! Duh!

Kama unampenda sawa. kama unamchukia - sawa vile vile!

Kwani hakuna suala lingine la kufikiria zaidi ya zitto?????????????????????????????????
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom