naomaba mnijuze kwa wale ambao mmewasil vyuoni frst year! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomaba mnijuze kwa wale ambao mmewasil vyuoni frst year!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sop sop, Oct 2, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  habarin wana jf hvi kwa wale ambao mmeshafika vyuoni mmeshapata huo mkopo maana nilisoma nipashe juzi kati waliandika kwamba wameshapeleka vyuoni!asanten nawatakia siku njema
   
 2. m

  myasis Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Mkopo kwa kuwa ni first tm utapata baada ya wk 2.
   
 3. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu kuwa muwazi tu naona unataka mkopa 1st year sio mbaya lakini ili mradi uwe mkweli kwa kuzirejesha.
   
 4. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mbna nasikia ushapelekwa vyuoni au!!!!
   
 5. f

  fortunho Senior Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwa udsm mpaka upate kitambulisho ambapo mpaka saiz hakuna hata mtu mmoja aliye pata kwa hiyo baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadooooooooooooooo
   
Loading...