Naogopa sana kusema hivi....

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
WATANZANIA...

WAKOLONI WALIANZA KWA KUTUIBIA AKILI ZETU NA NDIPO WAKAFUATISHA KUIBA MALI, MPAKA LEO HII WENGI WETU HATUJAJITAMBUA, TUNADHANI YOOTE YATOKAYO ULAYA BADO NI MALI. TUNADHANI BADO KWAMBA WA KUTUKOMBOA AWE NA ELIMU TU HATA KAMA HANA BUSARA. LEO HII ILI MTU AONEKANE MSOMI LAZIMA AJUE KUONGEA LUGHA AMBAYO UMBALI WAKE NI KILOMETA TAKRIBAN ELFU TATU. (LAU KUWA LUGHA HIYO INGELIKUWA NDIO KIGEZO CHA ELIMU BASI WANA WA KULE WASINGELIHITAJI SHULE) ILA KWA SABABU TUNGALI KATIKA KUIBIWA KULE TUTAFANYAJE? MAARIFA YETU YANGALI USINGIZINI. NDIO MAANA MIKATABA MIBOVU, NA HUDUMA MBOVU ZINAPATIKANA NA SI KWA WELEDI BALI BADO HATUJAJITAMBUA KWAMBA TUMEIBIWA AKILI. (Nitatoa mfano wa wezi, Mwizi hupiga makelele ya mwizi katika kituo cha basi. Na hapo kila mmoja hujipapasa alipoweka akiba yake - tayari huwa mtego umenasa!) Jamani ndugu zangu Watanzania tutoke katika lindi la usingizi... Ukombozi wa watanzania hautaletwa na mtu yeyote zaidi yetu wenyewe laa sivyo tutaendelea kuwaonesha tulipoweka akiba zetu ili waendelee kutuibia!

TUZINDUKE
 
Nakwa uvivu waviongozi wetu lugha ni muhimu hasa lugha yakitaalamu,hii mikataba yote imetokana na uvivu mtu akiona document kama bible anasoma page za mwanzo na zamwisho anamwaga wino!!kumbe amefixiwa kati!!
 
WATANZANIA...

WAKOLONI WALIANZA KWA KUTUIBIA AKILI ZETU NA NDIPO WAKAFUATISHA KUIBA MALI, MPAKA LEO HII WENGI WETU HATUJAJITAMBUA, TUNADHANI YOOTE YATOKAYO ULAYA BADO NI MALI. TUNADHANI BADO KWAMBA WA KUTUKOMBOA AWE NA ELIMU TU HATA KAMA HANA BUSARA. LEO HII ILI MTU AONEKANE MSOMI LAZIMA AJUE KUONGEA LUGHA AMBAYO UMBALI WAKE NI KILOMETA TAKRIBAN ELFU TATU. (LAU KUWA LUGHA HIYO INGELIKUWA NDIO KIGEZO CHA ELIMU BASI WANA WA KULE WASINGELIHITAJI SHULE) ILA KWA SABABU TUNGALI KATIKA KUIBIWA KULE TUTAFANYAJE? MAARIFA YETU YANGALI USINGIZINI. NDIO MAANA MIKATABA MIBOVU, NA HUDUMA MBOVU ZINAPATIKANA NA SI KWA WELEDI BALI BADO HATUJAJITAMBUA KWAMBA TUMEIBIWA AKILI. (Nitatoa mfano wa wezi, Mwizi hupiga makelele ya mwizi katika kituo cha basi. Na hapo kila mmoja hujipapasa alipoweka akiba yake - tayari huwa mtego umenasa!) Jamani ndugu zangu Watanzania tutoke katika lindi la usingizi... Ukombozi wa watanzania hautaletwa na mtu yeyote zaidi yetu wenyewe laa sivyo tutaendelea kuwaonesha tulipoweka akiba zetu ili waendelee kutuibia!

TUZINDUKE

kazi ipo, maana kuwa open minded person is not easy! maana hata wale tunaowaona wakombozi nao pia walishaibiwa siku nyingi
 
Back
Top Bottom