BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
Najihisi naogopa sana kufa lakini nikiangalia mienendo yangu haifanani na hofu yangu.
Nikifikiria kuwa kuna siku nitakufa, nitalala kwenye jeneza na kuzikwa basi miguu inaishiwa nguvu kabisa na kujawa na uoga.
Cha ajabu ni kwamba sijilindi ili nisife, napenda kufanya mapenzi bila kondom. Baadae nikikaa peke yangu nikifikiria kitendo hicho huwa naogopa sana lakini nikikutana tena na mwanamke sivai kondom.
Napanda bodaboda hata high way bila kujali ananiendesha nani na mambo mengine yenye risk ya kufa lakini naogopa sana kufa.
Hata sijielewi wakuu, sijui nitakufaje?