Naogopa ndoa jamani

Mamaa Kigogo

Senior Member
Sep 26, 2011
105
43
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa
 
Hakuna binadamu asiye na wivu Mamaa Kigogo,kikubwa ni kuhimili nafsi yako (self control) na hapo ndipo hekima huanzia. Olewa tu.
 
Jiandae tu kisaikolojia mama, hayo mambo yapo tu. sasa ukiishia lupango si ndiyo watakuibia mpaka uvunguni?
 
Pole sana Mama K, greatest number of people in the world are cheaters...and the few who don't are either extremely fat, blind or cleansed by the Blood of Jesus! Since most women revolve their lifes around men there are only two ways to live with a cheater first, you learn how to forgive and concentrate on your life, second, you leave him but prepare for the world ahead of you. Either way, the best life is to seek contentment in one's life and this comes from God alone!
 
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

Mama Kigogo, Karibu Jf, Sasa huyo kigogo ni nani au alipatikana kiajari tu? sio wanaume wote ni vicheche hivyo tulia tu utampata aliye mkweli ila na wewe usimuangushe.
 
hongera kwa kufika stage hiyo ila kuna mambo machache lazima uyaelewe au uweke wazi:-
  1. je ni muda sahihi kwako kuolewa?
  2. nini kinakupelekea kuamua kuolewa (umeshinikizwa au ni kwa sababu mko pamoja muda mrefu)?
  3. nani aliyetilia mkazo ndoa?
  4. je unaelewa nini maana ya ndoa???
  5. je wewe na mwenzako mkoje kimawasiliano mkiwa pamoja??
 
Kama uko tayari na unafikiri huyo ni right oerson wewe olewa.Changamoito zipo na asikudanganye mtu utaweza kuzikabili muhimu umekwishazijua
 
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . Naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa
we si umeolewa na unatafuta mtaalamau wa chachandu ili umdhibiti mumeo. Kuna thread humu umeandika.
 
Tatizo dogo. Ukipata mwanaume kama mimi hata huo wivu hutoujua tena. I LOVE U.
 
chanchandu ushapata kwa ajili ya mumeo au zilikuwa kwa ajili ya boifrendi???:confused2:
 
usijitose kwenye ndoa, ili kuepukana na maumivu ya ndoa nakushauri uwe nyumba ndogo tu inatosHA
 
Ndoa ni vita. Nasikitika kukwambia kuwa huo ndio ukweli wenyewe, tena ukweli wenye machungu! {source: Gaga & Teamo}
 
wengi wakishapata mtu alotulia na akiona ana future nae.basi,huwa wanaume wanatulia sana tu mbona.yani heshima inakuwepo,kupiga kazi za nje kwa wanaume iyo ni hulka ya mtu tu.sio wote wako ivo.
 
ndoa ni vita. Nasikitika kukwambia kuwa huo ndio ukweli wenyewe, tena ukweli wenye machungu! {source: Gaga & teamo}
baelezee kipipi baambi hiyo mutu juu ya ndoa si sawa na kulaga wali na sombe.bilengi nayo.
 
ndoa inamchungu yake cha msingi ni uvumilivu tu.ukiweza ingia hasa kama unatarajia kupata WATOTO.
 
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na mali yangu . naomba ushauri jamani nibaki single au nijitose kwenye ndoa

njoo kwangu upumzike mama,nakuhakikishia utakuwa peke yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom