Naogopa kwenda kwa rafiki yangu

Nyie humu si ndo mnasemaga muoe BIKRA ili msigongewe.Mbona huyo BIKRA anajilengesha kwako sasa ?
Sjajua kama anajilengesha ni hisia zangu Tu kwani we Kwa maelezo yangu unaona anajilengesha niende nikamdabemo au
 
Upuuzi wa kusimuliana jinsi unavomkaza mkeo ndo huu.
Jamaa kukusimulia ushamvutia picha mkewe alivyo na anachokosa.
Na mkewe nkajua unaweza kumpa na unamtaka.

Tombaneni tu.
Msitushirikishe.
 
Mkuu nunua mkongo kabisa uwe nao standby. Akikuita tu, changamka
Mkuu Mi SiHitachi mkongo wala mnini nipo full na najiamini ningekuwa na tamaa ningeshamtafuna kitambo sema mi namheshimu Sana rafiki yangu tuna share Mambo mengi Sana ndo maana mpk ananipa story za mkewe maana yake ananiamini Sana sana hata mkewe anajua Hilo.

Hayo Mambo ya mkongo huku kanda ya ziwa hata matangazo yake Tu hakuna watu wanapga mashine hasa wanaume wanapga mtama, Dona, maboga, maparachichi, Sato, makande, masangara.
Hayo Mambo huko kwenu bongo mnakokula mikate na mo juice Kila SKU na vjichips na mayai fake. Huku nilipo mayai ya kienyeji kama yote bei SHS 200 mayai pure yapo mpka ya kanga ni wewe Tu.
 
Sasa mkuu mnashare mambo mengi, kwanini mke msile wote
 
Aaaahahaaa hapana kamanda siwezi japo kama kuna kasauti kananambia nimkule Tu.
Lakini nikikumbuka jinsi best yangu tulivyo karibu na kuheshimiana Sana najikuta narudi nyuma Sana kwny Hilo bt stegemei kumpiga mwichi aisee tapambania Sana maana pia najijua nikishaga mkula demu huwa wanadata hasa mi kudata inachukua muda na nikishadata huwa sisikii wala sioni sa itaniletea shida sana
Kwa nilivokusoma itakuwa wewe kama mwanaume katika stage Yako ya ukuaji hauku interact Sanaa na wanawake either hauna mvuto (no offense wote Sio ma hb inabid wengine muwe na sura za kawaida mtafute Hela Kwa hasira) au umelelewa na baba anko etc..Yani ukipata minor attention ukubwani ya mwanamke yote it's a relief kwako..Sasa imagine una contacts 300 kwenye Simu ..loose balls around 70 potential ..40 unaweza piga ..unakimbilia kuchagua Moja was bestie wako kisa kakukaribisha??..afu unatakiwa uelewe hakuna mke anaye approve urafiki was mumew na Mtu anaeweza kum influence kitu..uyo mwanamke anakulia timing ..ukijichanganya una make a move ukagusa upaja Au ziwa anakuchenjia anatomba uondoke...apo Sasa ndo amwambie rafiki Yako vizur. Nilimkaribisha mwanao tumepiga wine story zikamkolea akashika ziwa..booom urafiki unakufa..mwanao hatopiga story zako Tena Kwa mkewake..mwanamke anarudi kuendesha uyo jamaa yako
 
Kama unamwelewa mchizi wako achana na mambo ya kumlia mkewe aisee, inauma sana hasa kwa mtu anaekuamini namna hiyo.

Wanaume marafiki hatufanyiani visa vya kishamba namna hiyo kuibiana wake. Huyo jamaa siku akijua anaweza kukuua kua makini na hizo tamaa zako.
 
Mimi nimefikisha tu ujumbe.
Kazi ni muhimu ila kumbuka kuwa hakuna ndoa ya wanandoa kuishi mbali mbali.
Zaidi watakuwa wanaigiziana tu.
Mark my words
Usiseme hivo ndugu, kuna kazi/ majukumu huwa yanamforce mtu awe mbali na mke au mume wake.
 
Uko sahihi Sana kukaa mbali na mkeo au mumeo unatafuta lawama Tu mtu lazma aliwe au ale huko alipo at last unaskia mtu ana mtoto nje au anaishi kabisa na mtu hasa wanaume upande WA mke atapigwa mipini sana tena na watu Tofauti maana hawezi kuwa na mtu permanent ili asigundulike jamaa kitakuwa linakuja kumtombea kwenye chumba chako Amin usiamini jamaa kitakuwa linajipgia usku kucha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom