Naogopa kwenda Kariakoo

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,691
10,113
Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.
Yakianza kuporomoka ni hatari.
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko

na pia epuka kuwasha taa au kutumia umeme....majanga ya moto yanayosababishwa na hitilafu za umeme yameongezeka pia......

Kweli upo makini na maisha yako.
Lakini pia kumbuka kutopanda magari yetu ya bongo hayafanyiwi service hadi liharibike, mengi mailegi yake imapitiliza bila service wala kubadilisha spea zake.
Usitumie dawa za hapa bongo maana asilimia 80 ni magumashi zinaweza kukuponesha na kukupa ugonjwa mwingine mbaya zaidi.

Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.
Yakianza kuporomoka ni hatari.
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko

Angalia na hiyo nyumba uliyopanga isijekukuangukia tu...

na pia epuka kuwasha taa au kutumia umeme....majanga ya moto yanayosababishwa na hitilafu za umeme yameongezeka pia......

heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!.......ya kweli haya preta,...ngoja ngeleja aulizwe

kutokwenda kariakoo hakutokuepusha na lolote.. nchi hii kila mahali ni hatari

Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.
Yakianza kuporomoka ni hatari.
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko

Na vile vile kwa kukhofia usalama wako Usipande Magari wala Pikipiki . Kwani kwa mujibu wa kakwimu za ajali zinazosababishwa na magari na pikipiki huko Tanzania hususan Dar ni Bora usipande vyombo hivyo.

Pole sana

Angalia na chakula unachokula vingi vimeexpire na kupitiliza muda
na vingine madawa waliyotumia yataendelea kufanya kakzi mwilini mwako miaka kama mitano ijayo na ni sumu
Na angalia na maji unayokunywa huenda machinga kashatoa chupa na kukuwekea maji ya kwenye madimbwi
mbona list ni ndefu

Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.

Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.

Yakianza kuporomoka ni hatari.

Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko

na angalia pia demu wako uliokuwa nae kwa kuwa takwimu znaonesha kuwa maambuzi ya virus vya ukimwi vnaongezeka cku had cku

Na usimsomeshe mwanao kwenye shule za kibongo mitaala imechakachuliwa na walimu wamechakachuliwa pia
Na usiende kwa doc wa kibongo ukiugua maana wamechakachua vyeti vyao badala ya kukufanyia operation ya kichwa utafanyiwa ya moyo

Asivute hewa ya duniani maake imeharibiwa_sababu ya uharibifu mkubwa wa mazingira.

Asiote jua maana kuna miale inatoka huko inaharibu ngozi
Na asivute hewa maana ina moshi wa sigara ambao ni hatari kwa afya yake
Asitumie simu maana zina miale inayoleta kansa ya ubongo

usiendee k/koo wala usiwe unakatiza kwenye kambi za jeshi wala kupanda magari,kukatiza barabara.mia

Na uzuri wa majengo ya Kariakoo hayana emergency exit. Na yalivyo marefu moja likiangukia jingine, jingine nalo litaangukia jenzake.

Usipande ndege maana unaweza kuzuiwa kutua uwanja wa ndege NIA, orodha ni ndefu mkuu.

pia usitembee kwa miguu mana waeza jikwaa ukadondokea uso na kutoa meno yote..............badala ya kufa unabaki kibogoyo

Usitembelee kambi yoyote ya jeshi maana kunaweza kutokea mlipuko wa mabomu ukaathirika
Usitemebelee baharini au mtoni au ziwani au bwawa lolote lile maana yanaweza kutokea mafuriko ukasombwa
Usivae nguo yoyote ya mtumba maana wameweka madawa mle unaweza kupata magonjwa ya ngozi

Na usipite kando kando ya miti kwani yaweza kukatika muda wowote na matawi yake mazito yatakudondokea kitu ambacho ni hatari kwa uhai wako.
Epuka pia kupita chini ya minazi kwani muda wowote nazi inaweza ikakudondokea kichwani.

Na wala usile vyakula vya bongo-hasa mijini, zile mboga za bonde la Msimbazi zimejaa kemikali na sumu..huku chips zinapikwa kwa mafuta ya transformer. Na pia nyama zile za kuku wale wamejaa madawa na sumu (hadi ARV). n.k. n.k n.k

Usioe maana mke anaweza kukusaliti ukafa kwa presha.
Vya kuepukwa ni vingi. Labda uwe malaika ufanikiwe.

Back
Top Bottom