Naogopa kurudi nyumbani kwa ajili ya VUVUZELA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naogopa kurudi nyumbani kwa ajili ya VUVUZELA

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Rich Dad, Jun 22, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna huu wimbo nikisikia redioni kwamba jamaa anaogopa kurudi nyumbani mapema kuepuka kelele za mkewe (VUVUZELA). Hivi kuna watu kweli wamefikia hatua hiyo inayopelekea mwenza ajicheleweshe makusudi kurejea nyumbani kwa ajili tu ya kelele za mwenza?
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Mwanaume haogopi nyumba yake banaaa, akiamua kurudi mapema ruksa. Kama unaogopa kelele za mke sasa ulimwolea nini?
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ila wapo wanawake wana make noise sana!
   
 4. m

  muhanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hilo neno, kwani vuvuzela linaanza ghafla, na bila kupuluzwa linaweza kulia?? kama wewe ni mwanamume ulie na msimamo unarudinyumbani kwako kwa muda unaofaa na hilo vuvuzela litazimika tu, usiwe mtumwa wa ndoa kwa kuwa ni mkataba wa hiari ambao malengo yake yako very clear, kwanini ugeuke uwanja wa kelele?!
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kama unaogopa VUVUZELA unalinunua la nini?!Na kama hupendi kelele zake unalipuliza la nini?!
   
 6. fikirini

  fikirini Senior Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Lizzy, hawa wanandoa suluhisho ni kuachana? ili mume akae mbali na vuvuzela(kelele za mwanamke)
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,272
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hapa umemaliza my dear....
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,002
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Great thinker!!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Waaaaala sijasema hivyo mie!‘
   
 10. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ilo vuvuzela haliwezi kulia bila kupulizwa
   
 11. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Noise wakati gani kaka? Wakati wa tafrani au wakati wa furaha?
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mimi hao wenye kelele,fujo,vurugu ndio nawapenda sana tu.
   
 13. fikirini

  fikirini Senior Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Basi inawezekana hujamuelewa mtoa mada.
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,865
  Likes Received: 6,361
  Trophy Points: 280
  Ningekuuliza swali ila umeshakataa kuulizwa swali jipya!
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,172
  Likes Received: 3,291
  Trophy Points: 280
  Mamkwe umeniacha hoiiiiiiiiiiiiiii
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hahahah...mkwe watu wanashangaza...yani kitu akitake...akitafute na akiendeshe wenyewe alafu eti hataki MATOKEO!!Btw chungulia kule namtuma mchumba wako aje kukusalimia!!
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Anaogopa majukumu tu huyo..
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,030
  Likes Received: 1,901
  Trophy Points: 280
  yes maanake ankufanya uchangamke.
   
 19. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haya matani mengine iko mbaya!
   
 20. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Watu wengine bana utawakuta kwa wake zao wapoleeee
   
Loading...