Naogopa kumwambia kuwa nina hamu ya kufanyia mapenzi gesti house

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,290
7,143
Home: Geneva of Africa,mama mchagaa.baba nmgoni.

Nimekuwa nikisafiri kati ya DSM na ARUSHA.Kuna nyakati nalazimika kulala gesti house.Huko gesti husikia vilio vya maraha,kwenye corrido hupishana na waliokumbatiana yaan mihemuko hunijaa.

Hii imekuwa ugonjwa yaan once nikifungua chumba cha gesti huwaza 'maraha' nateseka as my BF is not there.

Kimbembe:My BF/Mchumba/mume ni mtu wa dini sana nashindwa/naogopa kumwambia ninaham tufanyie GESTI kwani atakuwa ananiwazia vibaya niwapo safarini.

Je nimwambie (twende gesti) ,IS THERE ANY ONE ELSE KILA ANAPOINGIA GESTI AKILI HUAMIA CHINI au nina matatizo?
 
Merytina mambo?

Usifikie gesti ukija Dar bana. Kuna JF members wengi wanaweza kukupa accomodations.

Mi kabla sijaoa, afu huyu mama matesha anipe wazo la "twende gesti"... Anakula talaka ya uchumbani!
 
Duh!hii kali!naomba afikie kwangu!!!
 
Kuna siku nalazimika kufika Dar hata saa tano usiku sasa hapo ya nini nielekee Kitunda kulala wakati elfu 10000 tu napata pakulala shwari kabisa sinza/shekilango?
Huyo jf memba hana mtu mpaka nikamuwekee kiwingu?
 
Wanasema maji hufuata mkondo! na akili hufuata mawazo/dhamira yako! Kama cku ya kwanza kuingia guest ndo ilikua cku ya kudo na ukapata maraha yooote, basi ndo maana kila ukiingia guest unakumbuka maraha mdogo wangu! Ila ucjali hilo sio tatizo, ukipata kazi ukianza kusafiri lazima utalala guest na kwa jinsi utakavyokua umechoka hata hilo wazo la maraha halitakuja utapaona kama sehemu tu pa kupunzika!

Na kuhusu huyu mpenzi wako mlokole (mshika dini) hamjawahi kufanya naye? kama mlishafanya hakuna sababu ya kuogopa kumwambia coz hakuna jipya hapo! Mweleze una hamu, guest ni sehemu ya tukio tu!
 
Hiyo safari yako haina allowance?

kwanini ulale guest wakati hotel zipo kama unasafiri kikazi?
 
Duh!hii kali!naomba afikie kwangu!!!

kwenu wapi hapa DSM?
siendi mbali zaidi ya ubungo/external/shekilango/Rombo.
Pili huko kwnu nitakuwa najiingiza matatizoni bure ntaeleza nini incase ukiwa BOSS WA IMF?
 
Hiyo safari yako haina allowance?

kwanini ulale guest wakati hotel zipo kama unasafiri kikazi?

OKEY LET ME SAY HOTEL

Kwani kuna kuna tofauti ghani kimahadhi ndani ya chumba gesti/hotel when you trace matendo yafanyikayo huko
(ila uelewe uchumi umepinda so gesti nafuu)
 
Ukiwa safarini na wewe Vuta jibaba likishughulikie kama unaona hao wanaopiga kelele gest wanakuzingua. Pia utakuwa umetimiza adhma yako ya kutafuniwa gest, usisubiri huyo jamaa yako kwani hatokukubalia.
 
Wanasema maji hufuata mkondo! na akili hufuata mawazo/dhamira yako! Kama cku ya kwanza kuingia guest ndo ilikua cku ya kudo na ukapata maraha yooote, basi ndo maana kila ukiingia guest unakumbuka maraha mdogo wangu! Ila ucjali hilo sio tatizo, ukipata kazi ukianza kusafiri lazima utalala guest na kwa jinsi utakavyokua umechoka hata hilo wazo la maraha halitakuja utapaona kama sehemu tu pa kupunzika!

Na kuhusu huyu mpenzi wako mlokole (mshika dini) hamjawahi kufanya naye? kama mlishafanya hakuna sababu ya kuogopa kumwambia coz hakuna jipya hapo! Mweleze una hamu, guest ni sehemu ya tukio tu!
aksante ndugu
at least umezijali hisia zangu
 
Ukiwa safarini na wewe Vuta jibaba likishughulikie kama unaona hao wanaopiga kelele gest wanakuzingua. Pia utakuwa umetimiza adhma yako ya kutafuniwa gest, usisubiri huyo jamaa yako kwani hatokukubalia.

siwezi/sitaki/sidiriki kumsaliti my bf.
hapa nazungumzia kulala na my bf gesti house na sio njemba ni njemba
 
aiseee.. mi naona hapo tengeneza safari ambayo utakuja nae dar tena mchelewe kuondoka arachuga ili mfike usiku, mkifika unamwomba mtafute gesti ya karibu kwani umechoka na unataka kua nae usiku huo... kitakachoendelea uje kutusimulia hapa
 
Aaah bidada! Sasa jamaa yako hatokukubalia, hata ikitokea mnasafiri pamoja na kulala gest nadhani atakuchomolea. Fanya kama adventure tu, jamaa watafune mwili tu lakini moyo endelea kumwachia jamaa! lol!
 
Home: Geneva of Africa,mama mchagaa.baba nmgoni.

Nimekuwa nikisafiri kati ya DSM na ARUSHA.Kuna nyakati nalazimika kulala gesti house.Huko gesti husikia vilio vya maraha,kwenye corrido hupishana na waliokumbatiana yaan mihemuko hunijaa.

Hii imekuwa ugonjwa yaan once nikifungua chumba cha gesti huwaza 'maraha' nateseka as my BF is not there.

Kimbembe:My BF/Mchumba/mume ni mtu wa dini sana nashindwa/naogopa kumwambia ninaham tufanyie GESTI kwani atakuwa ananiwazia vibaya niwapo safarini.

Je nimwambie (twende gesti) ,IS THERE ANY ONE ELSE KILA ANAPOINGIA GESTI AKILI HUAMIA CHINI au nina matatizo?

Inategemea hiyo 'guest' huwa unamaanisha nini! Anyway, siku moja muombe msafiri wote (tengeneza mazingira aone kuwa inabidi msafiri) halafu mfikie guest, utafanikiwa.

Angalizo: BF wako asijue ID yako humu maana thread unazoleta unaweza pigwa talaka mia kidogo.
 
aiseee.. mi naona hapo tengeneza safari ambayo utakuja nae dar tena mchelewe kuondoka arachuga ili mfike usiku, mkifika unamwomba mtafute gesti ya karibu kwani umechoka na unataka kua nae usiku huo... kitakachoendelea uje kutusimulia hapa

Aisee, hilo ni wazo zuri sana lakini tatizo jamaa yake mlokole hatafunii gest, sasa hata wakisafiri na kulala gest atamchomolea tu. lol!
 
aiseee.. mi naona hapo tengeneza safari ambayo utakuja nae dar tena mchelewe kuondoka arachuga ili mfike usiku, mkifika unamwomba mtafute gesti ya karibu kwani umechoka na unataka kua nae usiku huo... kitakachoendelea uje kutusimulia hapa
i like you Samora for this.
ila hujaniambia kama na wewe akili huamia chini unapoingia gesti?
 
Back
Top Bottom