Naogopa kumpa mtu hii pesa

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,219
Hii hela nimepewa bila kujua upande wa pili nini kimeandikwa., badae natoa pesa kwenye wallet naona hayo maandishi,
Naona aibu mimi
DSC_0666.JPG
 
Hii hela nimepewa bila kujua upande wa pili nini kimeandikwa., badae natoa pesa kwenye wallet naona hayo maandishi,
Naona aibu mimiView attachment 1731805


Hiyo noti tayari kwa sheria za bank kuu imeshakuwa "desolete" itakapofika Bank kuu, sasa na wewe andika neno "MWENYEWE" upande huohuo kumjibu huyo mshenzi aliyeandika hayo matusi na uitumie muda wa usiku kwa tahadhari ili usije kukamatwa na kupewa msukosuko. Lengo la kuitumia ni ili usipate hasara isitoshe ili ifike Bank kuu kwa ajili ya kuharibiwa, kama hutojali basi ipotezee.
 
Sioni tusi hapo hiyo hela ikienda kwa mwanamke
"kum.ayakounaeshika hii hela"....!
na k unayo kweli
labda ukipeleka kwa mwanaume...
ushauri wangu hiyo hela itumiwe na wanawake tu
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom