Naöna Tartíib Wananchi wameanza kuelewa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naöna Tartíib Wananchi wameanza kuelewa!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kiresua, Apr 4, 2012.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wana Jukwaa!
  Nimepata hbr kuwa kulikuwa na chaguzi za vijiji pia sambamba na uchaguzi wa A.MERU. Muheza pia haikubaki nyuma, viti vingi vimechukuliwa na CDM ikifuatia KAF kwa upinzani! Hi inatia matumaini kuwa hata sasa wanchi wanaelewa tulichokuwa tunakisema. Naendelea kufuatilia ni viti vingapi vimechukuliwa na chama gani! I'l be back suun!
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Walielewa toka siku nyingi ishu ilikuwa walikuwa wanadhania Tuna chaguzi huru wakasahau kulinda kura zao. Mimi nadhani sasa hivi tujipange Mwaka2015 bajeti kubwa ielekezwe kwenye ulinzi wa kura kuliko kutangaza sera
   
Loading...