Nanyi nisaidieni Kumchagua bora ambaye anakuvutia mno ukimtizama akisoma Taarifa ya Habari Azam tv na ITV

An Eagle

An Eagle

Senior Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
134
Points
250
An Eagle

An Eagle

Senior Member
Joined Feb 11, 2019
134 250
Kuna Media moja imeniomba nipendekeze Jina la Mwanadada ambaye Mimi naona ndiyo anaweza Kusoma vyema kabisa taarifa ya Habari na ana Mvuto kiasi kwamba akiwa anasoma hiyo Habari basi si tu kwamba ataishia Kuwahabarisha bali pia atakuwa anawavutia kwa Urembo wake na kuwafanya Watu wawe wanaangalia tu Tv yao.

Je kati ya Ivona Kamuntu wa Azam tv na Farhia Mildred wa ITV nimpendekeze nani?

Tujadili.
 
B

Buffet

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
330
Points
1,000
B

Buffet

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2018
330 1,000
Sikumbuki Mara ya mwisho kuangalia taarifa ya hbr n lini..... Ngoja watazamaji waje
Farhia Middle, anaflow nzuri,lafudhi nzuri,anajua sana kunata na biti,haendagi off key,tone yake nzuri,anajua sana kutumia gastures japo kwa kuibia sana,mwonekano pia unambeba,halafu a naongea sauti ya kwanza nzito (wanakwaya watanielewa),mistakes ni chache sana asomapo,na yy binafsi ni mzuri kweli kweli
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,498
Top