Nanunua vifaa vya kupikia na kuuziaChips

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Waheshimiwa nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo wa Nazarethi..

Kama Heading inavyosoma nanunua vifaa vya kupikia chips kwa mtu ambaye alikuwa anafanya biashara hiyo alafu akaamua kuacha njoo pm tuongeee mara hii.....
Nataka kuanza biashara hiyo nipo Dar
 
Back
Top Bottom