Nanunua tv inch 21 nina 70000/=

jamani fasta jamani mwenzenu ndio anawahi moshi kupelekea wazazi mkumbuke mkitoa kwa bei hii mnawekeza baraka kwa wazazi kule shambani wakiona reg mengi wanafurahia wakiona kafulila wanakumbuka escrow


pls consider
 
Tafadhali mwenye nayo,anisaidie..nipo dsm...shukrani wakuu.

Labda km kweli unaomba msaada km ulivosema, ila Tv nzima, nchi21 kwa Tsh 70000? Huo ni zaidi ya utani..ongeza ifike 140000 nikuuzie yangu ni nzima kabisa na haijawahi sumbua kwa chochote
 
Back
Top Bottom