Nanunua simu zitazofungiwa na TCRA tarehe 16 Juni, 2016

Wadau kwa wale wote ambao simu zao zitafungwa tarehe tajwa hapo juu.Ninaomba tuwasiliane kwani ninazinunua kwa bei nzuri tu. Ukisoma tangazo hili mjulishe na mwenzio.
unanunua kwa bei gani? mm ninayo note 3 ila haina betri
 
Back
Top Bottom