laurentie Senior Member Feb 24, 2012 100 76 May 5, 2021 #1 Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100. Mawasiliano 0622115570/0784418789
Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100. Mawasiliano 0622115570/0784418789
R RtsHjcq JF-Expert Member Aug 19, 2017 4,753 5,504 May 5, 2021 #2 Mmh au mimi ndo sijaelewa ... Bei 350/Kg?...inakuwa vipi hapa.
goroko77 JF-Expert Member Jul 9, 2019 8,843 12,969 May 5, 2021 #3 Kwani hiyo kwa haraka tu kilo Mia unanunua kwa elf 35 only aise kweli ulikuwa. Shambani wew
Dr hyperkid JF-Expert Member Jun 7, 2019 10,125 19,715 May 5, 2021 #4 Ili ukalangue Kenya Wameru mnashida mahali
Iruru JF-Expert Member Jan 27, 2014 1,470 2,864 May 5, 2021 #5 Jamaa kasema ni mmeru? hyperkid said: Ili ukalangue Kenya Wameru mnashida mahali Click to expand...
Kiti Chema JF-Expert Member Oct 18, 2017 1,793 1,941 May 5, 2021 #8 Njoo uchukue kasulu kigoma kilo moja na nusu kwa 400 Tu,
laurentie Senior Member Feb 24, 2012 100 76 May 13, 2021 Thread starter #9 kazi NA sala said: Mmh au mimi ndo sijaelewa ... Bei 350/Kg?...inakuwa vipi hapa. Click to expand... kilo moja 350
kazi NA sala said: Mmh au mimi ndo sijaelewa ... Bei 350/Kg?...inakuwa vipi hapa. Click to expand... kilo moja 350
laurentie Senior Member Feb 24, 2012 100 76 May 13, 2021 Thread starter #10 Kiti Chema said: Njoo uchukue kasulu kigoma kilo moja na nusu kwa 400 Tu, Click to expand... ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo
Kiti Chema said: Njoo uchukue kasulu kigoma kilo moja na nusu kwa 400 Tu, Click to expand... ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo
Kiti Chema JF-Expert Member Oct 18, 2017 1,793 1,941 May 13, 2021 #11 laurentie said: ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo Click to expand... Gharama za kuyafikisha huko, duuuh, nikubwa sana mkuu, na dhani njiani kuna tozo za ushuru wa kijinga, najikuta nakula hasara Boss
laurentie said: ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo Click to expand... Gharama za kuyafikisha huko, duuuh, nikubwa sana mkuu, na dhani njiani kuna tozo za ushuru wa kijinga, najikuta nakula hasara Boss
rikiboy JF-Expert Member Feb 19, 2017 21,485 41,889 May 13, 2021 #12 350 labda kama unataka mahindi ambayo yapo kwenye magunzi bado….upukuchue mwenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣