Nanunua HP/DELL/Toshiba used laptop-400,000Tshs

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Heri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada nahitaji USED laptop ikiwezekana hata mpya lakini uwezo wangu ni around laki nne za kitanzania i.e TZS 400,000 specs min Intel dual core 2.0GHz/HDD 150GB/RAM 2GB/Screen 14"/.
Software sio shida nitapata uswahili.
Natanguliza shukurani nikiwa nimepiga magoti.
Asanteni.
Rakey.
 
nenda pale kariakoo mt wa kongo kuna ofisi wanauza used computer kibao
 
Heri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada nahitaji USED laptop ikiwezekana hata mpya lakini uwezo wangu ni around laki nne za kitanzania i.e TZS 400,000 specs min Intel dual core 2.0GHz/HDD 150GB/RAM 2GB/Screen 14"/.
Software sio shida nitapata uswahili.
Natanguliza shukurani nikiwa nimepiga magoti.
Asanteni.
Rakey.

Ukikisa mimi ninayo Ell
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom