Assalam Alekium
nina hitaji mashine ya ushonaji kwa maana ya cherehani, kwa yeyote mwenye assets hizo ani PM pamoja na maker na bei yake. Mwenye bei ndogo ndo nitamfuata. AHSANTE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.