gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,670
Hello,
On behalf of NANOTECHNOLOGY PLATFORM, I would like to announce to you that we had meeting with COSTECH and discussed on the technology transfer, specifically of Nano Technology in the country. this is the response after our discussion here in this forum about center for new technologies. In fact baada ya juhudi nyingi sana zangu binafsi za kutaka kukutana na watu ambao kwa namna moja ama nyingine wangekuwa na tija tulifanikiwa kufanya mkutano and here are some of the key issues we came up.
1. It is important to utilize the call for project proposal that are available, and specificaly bilatteral agreement btn TZ and SA. nafikiri gazeti la alhamisi last week lilikuwa na tangazo hili but deadline bado so unaweza kugoogle costech ukaangalia latest calls fofr proposal utaipata. wanafunzi wa MSC na PHD someni hilo tangazo.
2. The names of the champions will be sent to me on Monday
3. We can invite more people to the group
4. We are ready to share any funding opportunity for Nano technology issues
6. Mapping of who is doing what is crucial and existing technologies (machine/tools) to conduct Nano projects
7 The information will be shared to all members
8.Center of excellence is crucial in the later stage
9. Human resource capacity development is priority in the mean time.
kutokana nahayo basi napenda kurudi tena hapa jamvini kuwahabarisha kwamba kwa anayetaka kujiunga na hii platform iwe ni nanotech kwenye energies, medicine etc unakaribishwa sana sana sana.
mtazamo wetu uko kwamba sasa tafiti zetu ziwe industrial applied kwa maana hiyo tunahitaj watu ambao ni dedicated sana na ambao ni innovative from every field name it chem, phy, biochem, boiotech, biology, pharmacology animal science etc. kama uko tayari basi tuwasiliane kwenye pm. nafasi zipo na opportunities za funds zipo kwaajili ya tafiti. wanafunzi hasa walioko vyuoni napenda kuwaambia sasa ndio wakati wenu wa kuonyesha uwezo wenu wa kisayansi. ingia kwenye platform upate kundi ili mweze kufanya kazi.
MWISHO NAPENDA SANA KUWASHUKURU WANAJAMVI SPECIFICALLY Invisible StayReal NA WENGINE WOTE WALIONIPA AKILI KWENYE MJADALA NIKAWEZA KUSEMA KITU NA SASA KIMEKUWA INAGAWA BADO TU WACHANGA.
IDUMU MILELE JF.
BY gfsonwin.