Nani....?

Ngoja nirudi kuedit Rose namba tatu...sasa mshaelewana lugha na NN si msogee pembeni na taarabu zenu!?

hahah!ha! umenchekesha mamy...
pls usiende kuediti swt at..
siandiki tena taarabu ...
iz that ok?
ahh we nawe mami una hasira km una :mimba: ya babu....!!!!!!!
 
My Dear take it easy right????

mwenzangu!
naona mamdogo lizy leo atak uchakachuaji anataka ujumbe uwafikie mazima wadau husika..ebu acha kelele za mganda atakuja sasa ivi kutuambia ehh achen kelele darasani ama nenden nje!!
 
Hakika ndivo binadamu tulivo!! na mara nyingi mtu hupenda kusifiwa na kuambiwa anayajua mambo. Sishangai kuwa ndani ya JF kuna watu hunipa Burdani sana na wengine unikera sana ( sitawataja kwa majina wote). Lakini kupitia kwao nimejifunza mengi sana. Angalizo langu ni kwamba tujifunze kuvumiliana na kurekebishana kwa upole. Tusijiwazie kwamba mimi najua na hawa hawajui. Mfano inaonekana member wa muda mrefu humu jamvini ana upeo mkubwa sana kuliko member aliye jiunga jana.Hiii sio kweli nafikiri kama binadamu kila siku tunajifunza mambo mapya! haijalishi umeposti marangapi na umejiunga lini.
 
Nilipoona page zimefika kooote huku mara hii nikajua lazima ni uchakachuaji... :doh:

Yani partner ni kama wale wanaondesha gari huku wanaongea na simu kuhusu mtu aliyepata ajali akiendeasha huku anaongea na simu!!
 
hahah!ha! umenchekesha mamy...
pls usiende kuediti swt at..
siandiki tena taarabu ...
iz that ok?
ahh we nawe mami una hasira km una :mimba: ya babu....!!!!!!!

Nawaangalia tu.....
Ngoja nikatafute udongo kabla sijafura mpaka nipasuke!
 
mmh kweli?
r u sure?
unachokipenda mi sipend? km kip?
mi sitak/sipend lugha tu ....kuna kingne?
ndo mana ata taarabu awaimbi kwa chngereza..:dance:!!!!

Mi napenda kuangalia tu ile mimaza ikijishebedua. Kama ile miziwa ya Isha mashalaaaaaaaah
 
NN is a rare breed humu JF.when he is bored he humour plays with the flock,when push comes to shove on serious issues,very few can match his grasp on pertaining issues.To say "anajifanya anajua"is just un JF and simply 'ballerhating'
 
NN is a rare breed humu JF.when he is bored he humour plays with the flock,when push comes to shove on serious issues,very few can match his grasp on pertaining issues.To say "anajifanya anajua"is just un JF and simply 'ballerhating'

Grupie???
Just curious!!
 

Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom