Nimeona ni vizuri tukaleta mpambano huu wa kuona ni nani zaidi kati ya hawa maktibu wawili wa vyama CHADEMA (Dr Wilbroad Slaa) na CCM (Yusuph Makamba). Je kwa muono na mtazamo wako ni katibu yupi ni zaidi ya mwenzake katika vigezo vyote unavyovijua wewe? Mshindi itabidi apambane na makatibu wengine hapo baadae