Nani zaidi? katibu wa chadema-dr slaa na ccm-yusuph makamba?

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Nimeona ni vizuri tukaleta mpambano huu wa kuona ni nani zaidi kati ya hawa maktibu wawili wa vyama CHADEMA (Dr Wilbroad Slaa) na CCM (Yusuph Makamba). Je kwa muono na mtazamo wako ni katibu yupi ni zaidi ya mwenzake katika vigezo vyote unavyovijua wewe? Mshindi itabidi apambane na makatibu wengine hapo baadae
 
Makamba zaidi, hasa kwa idadi ya wanachama anaowaongoza, inabidi uwe crazy kidogo ukiwa na akili kama za Slaa manake utashindwa tu!
 
Nimeona ni vizuri tukaleta mpambano huu wa kuona ni nani zaidi kati ya hawa maktibu wawili wa vyama CHADEMA (Dr Wilbroad Slaa) na CCM (Yusuph Makamba). Je kwa muono na mtazamo wako ni katibu yupi ni zaidi ya mwenzake katika vigezo vyote unavyovijua wewe? Mshindi itabidi apambane na makatibu wengine hapo baadae

Aaah, kaka, kumpambanisha Slaa na Makamba ni sawa na kulinganisha Tembo na Sisimizi, ni sawa na kumlinganisha Obama na Kikwete. Makamba hamsogelei Slaa hata kwa kigezo kimoja:

1. Elimu nafikiri gap kubwa kati yao mimi na wewe tunajua (Offcourse, hata mwenyekiti wa Makamba kaachwa mbali kwa hili)

2. Hekima (mie siongei hapo)

3. Busara (ndio usiseme kabisa)

4. Nidhamu (aah, aah)

5. Uadilifu (Slaa kamzidi, ingawa Slaa analalamikiwa kuchukua mke aliyemkimbia mumewe (ambayo nadhani siyo shida), huyo mwingine atueleze kwanini alifukuzwa ualimu ...(sijui ni kale kamchezo ka kuwapa mimba wanafunzi? teh teh teh!)

6. Slaa amekuwa mbunge wa kuchaguliwa na kwa kura (miaka 15) Makamba vyeo vyake vyote ni vya kuletewa mezani.

7. Popularity (hapo NISAIDIE WEWE, nikisema mie ntaonekana muongo)

8. Kipaji cha uongozi (Gap ni sawa na Marekani na Tanzania)

The list goes on.............., hakuna dimension hata moja ambayo Makamba anaweza kumzidi Slaa!
 
Kupalilia majambazi.... YM hana mpinzani

Lead through confusing.... YM anarekodi isiyofutika
 
watu kama wewe mtakombolewa kupitia sera ya elimu bure chadema tukiingia madarakani ili uondokane na usifuri wa kumtukuza makamba
 
Kwa Umaharufu ni Dr Slaa maana alimbana kikweli kweli Rais wa NEC, lakini Makamba kwa Kutetea Maovu na kusema uongo ni Zaidi maana wansema Deep Green ...... iliyochukua hela za walala hoi sio ya CCM siju ni ya nani?
 
Nini tena unaleta hapa bana? Umemchoka babu makamba kiasi cha kutafuta avuliwe nguo hadharani namna hii?

Heshimu baba na mama.....
 
Mimi nafikiri hapa ni kama kulinganisha maji na mafuta!!!

Kipi kina thamani kati ya maji na mafuta??

Ukiviweka pamoja kipi kitakuja juu???

Nafikiri jibu ni too obvious..............!!

Makamba ni maji wakati Slaa ni Mafuta.....................!!!
 
kweli watanzania tuko serious

na tutaijenga nchi kwa mtindo huu huu... wa nani zaidi
 
Kupalilia majambazi.... YM hana mpinzani

Lead through confusing.... YM anarekodi isiyofutika

HA HA HA! agreed, mkuu! kwa hayo, bwana YM yuko juu, uongo, uchonganishi, uzandiki, ulafi, majungu, umbea, ubabaishaji, kuropoka etc
 
Kama ni -ve Makamba anaongoza.
Ila kama ni +ve Dr W. Slaa yuko juu. Makamba anafaa kuwa mtunzi wa taarabu.
 
YM yuko juu kwa mambo yafuatayo uropokaji,uongo,uzandiki,ubakaji,wivu,chuki,ubaguzi ,wizi wa kura,uchonganishi,fujo na kutokubali kushindwa

Tumejionea wenyewe YM na genge lake walivyomkomalia bwana Hussein Bashe kuwa si raia,tukajionea YM alivyohusika kuanzisha fujo kupitia kikundi cha green guard wakati wa uchaguzi hasa kule mara na Iringa na juzi juzi YM kawaandikia barua wagombea ubunge wote wa CCM walioshindwa katika uchaguzi mkuu wa oktoba 2010 waende mahakamani na pesa ipo,tumejionea jinsi YM alivyopiga kelele na kupayuka kuwa mwanae Januari M lazima angeukwaa uwaziri na bila kusahau YM anavyokabiliwa na shutuma za kumbaka mwanafunzi,kumtia ujauzito na YM kufukuzwa ualimu.

Kwa hiyo YM ni zaidi katika maovu na vitu vya ovyo ovyo
 
katika safu ya siasa ya Tanzania hivi leo hakuna wa kumfananisha na Dr. Slaa.na kulazimisha kumfananisha ni kutenda kosa la jinai
 
Aaah, kaka, kumpambanisha Slaa na Makamba ni sawa na kulinganisha Tembo na Sisimizi, ni sawa na kumlinganisha Obama na Kikwete. Makamba hamsogelei Slaa hata kwa kigezo kimoja:

1. Elimu nafikiri gap kubwa kati yao mimi na wewe tunajua (Offcourse, hata mwenyekiti wa Makamba kaachwa mbali kwa hili)

2. Hekima (mie siongei hapo)

3. Busara (ndio usiseme kabisa)

4. Nidhamu (aah, aah)

5. Uadilifu (Slaa kamzidi, ingawa Slaa analalamikiwa kuchukua mke aliyemkimbia mumewe (ambayo nadhani siyo shida), huyo mwingine atueleze kwanini alifukuzwa ualimu ...(sijui ni kale kamchezo ka kuwapa mimba wanafunzi? teh teh teh!)

6. Slaa amekuwa mbunge wa kuchaguliwa na kwa kura (miaka 15) Makamba vyeo vyake vyote ni vya kuletewa mezani.

7. Popularity (hapo NISAIDIE WEWE, nikisema mie ntaonekana muongo)

8. Kipaji cha uongozi (Gap ni sawa na Marekani na Tanzania)

The list goes on.............., hakuna dimension hata moja ambayo Makamba anaweza kumzidi Slaa!
Hapa tu ndipo wanachadema huwa mnanifurahisha, wachangiaji ni wengi mno kwa kusifia chadema,
Hebu tujikubushe yafuatayo,
-jana ilipoletwa thread ya kutaka kujua CV ya freeman na said Arf wote waligwaya na kubaki kukejeli
-Kabla ya uchaguzi wadau waliomba elimu ya mgomgea mwenza wa slaa na kampeni zake anazipigia wapi, sote ni mashahidi jinsi wanachadema walivyofura na kutukana,
-leo maada ya slaa na makamba ambayo kiuhalisia haina facts zaidi ya mtizamo wa mtu binafsi mnaona jinsi mlivyojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuponda.
hii ni aibu. badilikeni othewise itabidi tuiite chadema forum badala ya jamii forum.
 
hilo swali hata ukiwauliza wanafunzi wa darasa la kwanza watakupa majibu na sababu zakutosha.................usifananishe kifaru na bajaji bwashe(dr slaa yupo juu) kwanza ana PHD ya canon lawz toka roma university chini ya 75 umesup makamba ni mwl. wa UPE wale waliomaliza darasa la 4 enzi zile
 
Dokta wa kanoni ni zaidi, hakuna ubishi! Kwa kuvunja sheria za kanisa la roma, kupoara mke wa mtu, kufukukuzwa upadiri na kuwa na mke na hawara, nnashaka hata huyo wa kwanza kama ni mke halali kwani padiri anaoa? Na akishafukuzwa kanisani anaweza kurudi tena kanisani? Au anakuwa kama kakobe? Anaanzisha kanisa lake?
 
Back
Top Bottom