Nani zaidi kati ya Toyota land cruiser vs Nissan patrol

Salamu sana ziwafikie wapendwa wana JF
Naomba kujuzwa japo kwa undani Kati ya haya magari mawili na sifa zake TOYOTA LAND CRUISER vs NISSAN PATROL
aksante.
Be specific mdau,unataka Landcruza model ipi na Nissan patrol model ipi?
 
Habari za muda wapenzi wa magari ya kazi?

Nami pia nataka kujua kwa uzoefu wenu na yale mliyoshuhudia, kati ya Nissan Patrol na Toyota Landcruiser ipi ina perfomance ya hali ya juu off road na on the smooth road?

Nafikiria kununua mojawapo ya magari hayo mawili. Vipi kuhusu drifting, utelezi, nguvu, speed, na kudumu?

Nimepitia youtube nikaangalia mambo machache sijapata jibu, nataka hasa waliokuwa nalo barabarani:

Mkuu...

Unahitaji za mwaka gani?

Anyway... Mimi ningekushauri kama ni model ya kuanzia 2013 chukua Infinity QX80(Hii ni luxury brand ya Nissan)

Lakini kama ni below 2013,chukua Kilimo kwanza(Land Cruiser)
 
Hiyo infinity, kwa mafuta yake ya kibaba ataiweza? Ile gari ina engine ya Petrol na ina cc5600, V8! Bora Patrol engine yake ni ya Diesel...
 
Salamu sana ziwafikie wapendwa wana JF
Naomba kujuzwa japo kwa undani Kati ya haya magari mawili na sifa zake TOYOTA LAND CRUISER vs NISSAN PATROL
aksante.
bd10cea200bfbe39cdfdaad82fe371ea.jpg
Chukua usafiri huu Mkuu hutojutia fedha yako [HASHTAG]#Nissan[/HASHTAG] Safari King of Road
 
Back
Top Bottom