Nani yupo sahihi kati ya hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani yupo sahihi kati ya hawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dungulee, Dec 8, 2009.

 1. D

  Dungulee Member

  #1
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF.
  Mimi napenda kufahamishwa kuhusiana na hili neno SHELI.
  Maranyingi huwa nasikia watu wakisema "Tukutane pale Sheli Bamaga"ama wengine kama makonda husema "Buguruni Sheli mwisho" na vinginevyo.Inamaana hivi vituo vya mafuta vyote kama BP,Oryx,OilCom na vinginevyo kwa neno moja ni SHELI?
  hata waandishi wa habari maranyingi huwa nakuta kwenye magazeti wanatumia neno SHELI katika baadhi ya matukio wanayozungumzia wakati sijawahi ona mahali pa kituo cha mafuta kumeandikwa SHELI.nahitaji kuelimishwa kuhusiana na hilo.NAWAKILISHA
   
 2. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #2
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna kampuni ya usambazaji mafuta ilikuwa ikiitwa SHELL, sina hakika kama bado ipo ulimwenguni lakini ilikuwepo hapa nchini na kwa mazoea watz mpaka leo kila kwenye kituo cha mafuta/gasi hupaita SHELL [​IMG]
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  bRAVO MKUU!

  Azikiwe we ni Mkongwe mwenzangu nini, maana wengi wa hawa vijana wa kisasa hawakuwahi kuiona kampuni hii ikiwa hai!
  Na hiyo uliyoweka ndo nembo yake haswaa!
  Hii ni moja kati ya kampuni za kwanza hapa nchini, ndo maana jina hilo limekuwa linatumiwa kuwakilisha kituo cha mafuta(japo ni makosa)!
   
 4. M

  Makanyagio Senior Member

  #4
  Dec 8, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii ni sawa tu kama vile pikipiki za matairi matatu zote zinaitwa Bajaj. Na baada ya muda ilo jina litang'ang'ania hapo hapo. Huenda BAKITA wakayatohoa hayo manaeno kama yalivyo. Bisha!!!!!!!!!!
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  kwa sasa kuna vituo vingi vya mafuta lakini hapo mwanzo (zamani), palikuwa na AGIP, TOTAL, BP na SHELL, kwa upande wa dar SHELL ilikuwa ni dominannt sana, sasa ikafikia point kila kituo cha mafuta watu wanakiita shell, na hiyo ndio iliyosababisha mpaka leo vituo vya mafuta kubaki na jina hilo la shell
   
 6. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Swadakta mkubwa !! Kijana hayo majibu uliyopewa uya bold, zamani wakati wa majina haya yanatamba tulikuwa tunasema pigia msitari, pale ambapo unakuwa umepewa majibu mazuri kama hayo.
   
 7. I

  Idda Member

  #7
  Dec 8, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kampuni maarufu iliyokuwa na ukiritimba wa ku-supply fuel za magari.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ni kama mnyamwezi (old school wengi) anavyoweza kusema "I am going to Xerox this" akimaanisha anaenda ku photocopy.

  Au kusema I like that walkman, while walkman is a Sony brand and not every "walkman" is a Walkman.

  Not to advocate imprecision, lakini haya mambo yapo the world over.
   
 9. D

  Dungulee Member

  #9
  Dec 10, 2009
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asanteni kwa majibu yenu wana JF.
   
 10. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Duh! unanikumbusha enzi za "jamaa kanunua mobitel" akimaanisha jamaa kanunua simu ya mkononi!
   
Loading...