Nani yupo nyuma ya project ya kulipa bajaji zilizobandikwa picha za Rais Samia?

Chawa wa Chief Hangaya ni veeeery bright, hapo watamkamua Hangaya hadi 2025 watakuwa mamilionea.
 
Nchi hii inawafanya watu ni mafala kwa kujitengenezea namna ya kupiga hela kirahisi. Sasa hivi njia nyepesi ni kumsifia mama Samia kwa gharama kubwa kwani naye anapenda sana sifa za aina hii.
Lakini hao mafala wanao wanao waona wao ni pamoja na vijana wetu wanaolinda nchi hii.
Kuna siku vijana hawa watashtuka kuwa WANAONWA MAFALA KUMBE! Ndio jambo litakuwa jambo

Wakuu
Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni,temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante

View attachment 2226915
Mama ana uchu wa madaraka uliopitiliza
 
Wakuu
Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni,temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante

View attachment 2226915
Serikali, vinginevyo wangeamriwa waziondoe.
 
Morogoro mjini nimeona bajaj nyingi zimebandikwa Konde boy na Platinumz!
Kumbe wanalipwa!?
 
Wakuu
Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni,temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante

View attachment 2226915
Wewe hujiulizi kwanini VOTE ya Ikulu huwa haikaguliwi na wakati ni pesa za umma?
 
Wakuu
Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni,temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo haya nani anayalipa!!?!!?
Lengo ni nini!!?
Asante

View attachment 2226915
Shaka huyo na propaganda zake
 
Back
Top Bottom