Nani yupo nyuma ya Dar mpya na clouds media.

Bahimba

JF-Expert Member
May 8, 2013
510
346
Wadau naombeni kujua nani anaedhamini ziara ya mh, Paul Makonda ikiwa ni pamoja na urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja yanayofanywa na clouds media, je ni serikali...? Na kama ni serikali kwanini wasitumie TBC, naomba kuwasilisha.
 
TBC sio ya dar peke yake mpaka mtulazimishe wa mikoani kuangalia.Aendelee na hiyo hiyo clouds
 
Leo mh Rais kaongea kwa njia ya sim na mh Makonda kupitia chombo hicho binafsi akisifu ziara ya mh Makonda, wakati yeye juzi kuvunja board ya TRA, kisa wameweka pesa kwenye bank binafsi,...
 
Back
Top Bottom