Nani yupo nyuma ya Dar mpya na clouds media.


Bahimba

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
512
Likes
270
Points
80
Age
40
Bahimba

Bahimba

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
512 270 80
Wadau naombeni kujua nani anaedhamini ziara ya mh, Paul Makonda ikiwa ni pamoja na urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja yanayofanywa na clouds media, je ni serikali...? Na kama ni serikali kwanini wasitumie TBC, naomba kuwasilisha.
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
35,901
Likes
24,439
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
35,901 24,439 280
Clouds redio ya taifa

OVA
 
Mango833

Mango833

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Messages
3,772
Likes
19,120
Points
280
Mango833

Mango833

JF-Expert Member
Joined May 4, 2011
3,772 19,120 280
TBC sio ya dar peke yake mpaka mtulazimishe wa mikoani kuangalia.Aendelee na hiyo hiyo clouds
 
Bahimba

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
512
Likes
270
Points
80
Age
40
Bahimba

Bahimba

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
512 270 80
Leo mh Rais kaongea kwa njia ya sim na mh Makonda kupitia chombo hicho binafsi akisifu ziara ya mh Makonda, wakati yeye juzi kuvunja board ya TRA, kisa wameweka pesa kwenye bank binafsi,...
 
miss mbuja

miss mbuja

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
425
Likes
255
Points
80
Age
35
miss mbuja

miss mbuja

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
425 255 80
Nchi hii bwana. Full stress ndio maana Anthony Lusekelo akaamua akaburudike na unkhomboti
Hahaaaaaaaaaahh na open shoes akiwa amezishika mkononi jamani! Hahhhh jamani jf no stress
 
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
1,037
Likes
562
Points
280
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
1,037 562 280
mi kifurushi cha AZAM kikiisha ndo TBC inapata airtime kwang nd naangalia habar zake.
 
R

rugberna97

Senior Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
148
Likes
124
Points
60
R

rugberna97

Senior Member
Joined Sep 22, 2016
148 124 60
Clouds ndio wameanzisha hiyo kampeni,wao ndio wamemuomba makonda afanye hivyo
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,532
Likes
51,390
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,532 51,390 280
SGM wameliweka jiji la dar mikononi mwao.
 

Forum statistics

Threads 1,274,859
Members 490,833
Posts 30,526,117