msemakweli wa ukweli
Member
- Jan 21, 2013
- 5
- 0
Gharama zipi zinaepukwa kurusha matangazo ya bunge live na kurekodi ili yarushwe usiku?
wewe ndiyo bure kabisaaGharama zipi zinaepukwa kurusha matangazo ya bunge live na kurekodi ili yarushwe usiku?
Fedha ya MCC ni bilioni 700, fedha iliyopatikana baada ya kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato ni trilioni 1.4. Vyanzo vyote vya mapato vikisimamiwa vizuri hakuna atakayekwenda Ulaya kuomba fedha. Ndugu yangu yakwepe kadri uwezavyo yale mawazo ya jumla jumla.MCC iendelee kutotoa pesa yao kwa kunyakwa demokrasia ya Tanzania na uhuru, ikiwezekana viongozi wa Tanzania wasikanyage ulaya na Marekani na hata matibabu musiwape nao waje kupanga foleni Muhimbili
Fedha ya MCC ni bilioni 700, fedha iliyopatikana baada ya kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato ni trilioni 1.4. Vyanzo vyote vya mapato vikisimamiwa vizuri hakuna atakayekwenda Ulaya kuomba fedha. Ndugu yangu yakwepe kadri uwezavyo yale mawazo ya jumla jumla.
Kwa taarifa yako mfumo mzima wa kodi unafanyiwa mabadiliko makubwa, hivyo tegemea kiwango kinachokusanywa kwa mwezi mmoja kuongezeka. Ule upigaji uliokuwepo awamu ya nne na ukawatajirisha wachache, safari hii mambo hayo yasahaulike, hayawezi tena kupewa mwanya.Wewe mapato ya mwezi wa 12 yanakuwa juu miaka yote sababu watu wengi wanakwenda kulipa kukimbia faini baada ya mwaka kuisha. Afterall unafahamu kwamba JK alikuwa anakusanya billioni 900 kwa mwezi? trioni1.4 ni ongezeko la billioni 500 bado haujafikia pesa ya mcc. Jiongeze
Kwan wanarekodi bure na hiyo Saa 4 watarusha bure?Gharama zipi zinaepukwa kurusha matangazo ya bunge live na kurekodi ili yarushwe usiku?
Ilipiwe vipi wakati ni television ya serikali? Hapa napata mashakaMimi nataka kufahamu gharama za ulipaji wa matangazo live unalipiwa na ofisi ya Bunge au wizara ya habari ya Mh.Nape/?
Mkumbushe kua kufikia apo kuna faini coz walilimbikiza sasa kila mtu akilipa kila mwaka bila kukwepa inamaana atopata tena kiasi hicho so tujipange kutukana mamba kabla ya kuvuka mto umetoa ufafanuzi wa kitaalam sna hongera nduguWewe mapato ya mwezi wa 12 yanakuwa juu miaka yote sababu watu wengi wanakwenda kulipa kukimbia faini baada ya mwaka kuisha. Afterall unafahamu kwamba JK alikuwa anakusanya billioni 900 kwa mwezi? trioni1.4 ni ongezeko la billioni 500 bado haujafikia pesa ya mcc. Jiongeze
Jana Halima Mdee alikuwa anapigana vijembe na nani sijui wakati Zitto akiomba mwongozoGharama zipi zinaepukwa kurusha matangazo ya bunge live na kurekodi ili yarushwe usiku?
Mimi sijakuelewa ukilinganisha na mada yenyewe.Vyombo vya habari wakati wa JK vilipewa uhuru mkubwa mno, lakini leo wadau wale wale wanaponda kila kitu kilichofanywa na awamu ya nne, shukrani ya punda ni mateke. Ukitaka upewe uhuru ni lazima utambue maana ya wajibu, kuwa na sehemu ya kuongelea kwa maana ya chombo cha habari hakuyaondoi majukumu ya uboreshaji wa sekta nzima ya habari. Hakuondoi umuhimu wa serikali kuandaa regulator wa habari, atakayesimamia viwango vya utoaji habari, atakayesimamia utendaji mzima wa vyombo hivyo. Hao wanaoitwa wafadhili wanavyo vyombo katika nchi zao, vinavyo regulate habari, hakuna ukanjanja unaoruhusiwa. Naamini ndani ya awamu ya tano serikali italifanyia kazi suala hili la uwepo wa msimamiaji mkuu wa habari. Inajengeka dhana kuwa upatikanaji wa habari na uwepo wa vyombo vya habari ni vita ya kudumu kati ya watawala na vyombo vya habari, lakini hata kama ni vita ni lazima vyombo vya habari viwe na uwezo wa kusimamia maadili ya habari. Usiwe ni uwepo wa uhuru wa habari bila ya yule anayoitoa kwa jamii kuboresha uwezo wake. Ni aibu kwa mwanahabari kuingia kwenye ofisi za taasisi za kiserikali halafu akajiweka katika mazingira ya kutoonyesha uelewa wa kile alichokifuata kwenye hizo ofisi. Kuna kipindi miaka michache iliyopita, waandishi walikuwa wakitumiwa katika vita za kisiasa zinazokuwepo baina ya watu wanaotaka kuharibiana kazi mbele ya jamii. Mwandishi wa habari anafanya kazi katika mazingira ambayo anakuwa hana personality ya mtu anayeiwakilisha tasnia inayostahili kuheshimiwa. Nadhani nimeeleweka.
Kuna walionielewa, nadhani ujumbe utafanyiwa kaziMimi sijakuelewa ukilinganisha na mada yenyewe.