Nani yuko online now tuchati tyuu

Pole kwakukatikiwa Na usingizi. Tupo wengi wenye tatizo kama ilo . Mimi naona dalili za kutoboa siku ya tatu leo
 
Mmh kwakweli Ila kiafya utakua na tatizo mkuu Hali hiyo inaitwa insomnia inatokana na depression na fear pamoja na vitu vingine so jitahid angarau uhuzulie kwa mwana psychologia wa,Karibu yako atakupa mengi zaidi
 
Back
Top Bottom