Nani Waziri wa Mambo ya Ndani kwa sasa?

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,111
2,377
Heshima kwenu wanajamvi!

Samahani naomba kuuliza kwa lengo la kujua tu. Baada ya kutumbuliwa Kangi Lugola aliteuliwa Simbachawene kujaza nafasi yake.

Juzi Mh Rais alipokuwa anaapisha viongozi mbalimbali jijini Dodoma nilisikia kama Simbachawene aliapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya.

Ni kweli au masikio yangu yalinidanganya ? Kama ni kweli, alishatenguliwa? Nani Waziri wa Wizara hii kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikio yako yalikudanganya

itakuwa ni deogratius KISANDU
 
John Simbachawene siyo George Simbachawene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom