NINAHASIRA
Member
- Nov 5, 2010
- 58
- 9
Nimekuwa na tabia ya kufanya punyeto na ni kwa muda mrefu kiasi kwamba hata nahisi kupungukiwa na nguvu za kiume!! Hivi kuna tiba gani mana ninapokutana na mwanamke kileleni ni dakika 2 tu. Lakini goli hata nne tano zinafika sijui mwenzenu nifanyeje naomba msaada mana tabia hii yanikera